Nimeamua 'kusilimu' je, kisheria na kiimani nitaruhusiwa kuongeza wake nikihitaji?

Kwa hyo namba 1 kumbe yafaa sasa nikibadili dini nitakua na sababu ya kumpa talaka mke wangu wa awali kama hakubadili dili, ili kwamba hata sheria za nchi zisimtambue
 
Kwa hyo namba 1 kumbe yafaa sasa nikibadili dini nitakua na sababu ya kumpa talaka mke wangu wa awali kama hakubadili dili, ili kwamba hata sheria za nchi zisimtambue
Mkuu sheria ya nchi ata kama hamkufunga ndoa ili mradi mmeishi not less of 6months basi huyo ni mkeo achilia mbali kuzaa nae.Kwani Moni na huyo sijui mchepuko wake mbona wanakimbizana mahakamani ili atoe matumizi?ingeu sẻikali haitambui wasio na ndoa unamaana wasingefikishana mahakamani.
 
Good. Shida ipo hapa: wakristo hawavunji ndoa (hawatanzui mkataba) je hilo la kusema huezi kuingia mkataba mwingine juu ya mkataba uliopo linawezekanaje? Kwakuwa kanisa hua halivunji ndoa, je ndoa hyo inaweza kuvunjwa na mahakama pekeake ili anagalau kuweka mazingira ya kisheria kwamba mwanandoa aweze kuingia mkataba mwingine (polygamy)? Na utaratibu ukoje
 

MAJIBU
1. sheria haitaendelea kumtambua kama mke wako hadi mkafunge ndoa bomani kwani ndo hiyo itakuwa imevunjika baada ya wewe kuwa muislam..(maelezo zaidi ktk jibu la swali # 2)

2. ukishakuwa muislam mkeo akibaki na dini yake ya ukristo ndoa hiyo itakuwa imevunjika..hakuna ndoa ya muislam na mkristo inayokubalika na uislam...labda ujitenge na Mungu uende ukaoe bomani)

3. mkibadili dini wote mkaingia ktk uislam hamna haja ya kufunga ndoa ingine, mtaendela na ndoa yenu na inatambulika kwa Allah (na kwa kuongezea tu dhambi zenu zote zitakuwa zimefutika mnaanza upya na mnafunguliwa vitabu vyenu vya matendo kila mmoja vitabu viwili (cha matendo mema na cha maovu))
 
Kwa hyo namba 1 kumbe yafaa sasa nikibadili dini nitakua na sababu ya kumpa talaka mke wangu wa awali kama hakubadili dili, ili kwamba hata sheria za nchi zisimtambue
Inawezekana Kabisa na hata kwa upande wake wa kikristo ndoa yenu itakuwa batili mwanamke Atakuwa huru.
 
Je lengo la we kuslim ilikua kuonheza mke au kufuata imani yao?
 
Kiimani Hatambuliki.
Kisheria Anatambulika.
Na ili kuyimiza hitaji la yeye kuwa mke. Je akiamua kujitenga na mm, arudi kwao, kwasababu nimebadili dini; je, ninaweza kuchukua hatua gani za kisheria ili aendelee kuishi na mm kama mke wangu. Haitakua na maana sheria imtambue kama mke wangu halafu akimbie nyumba, i should be able to take some legal measures
 
Atakua muislam
 
Kwanini awe muislam?
Kwasababu alikua mktisto kwasababu ya wazazi wake ni wakristo, na anaendelea kuwa mtoto wakati wazazi wake ni waislam (hyo ni logic, otherwise dini ielekeze vinginevyo)
 
Utakuwa umeoa mke mmoja na majini kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…