feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama imekuuma mkuu, kulikoni!Hilo la kuwa CCM halina ubishi ulikuwa unakataa lakini mabandiko yako yalikuwa yanakusuta. Hayo mengine kwa vile leo ni siku ya wajinga siwezi kuyatilia maanani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa ameandika KIMASIHARA SIHARA, lakini ametufahamisha jinsi alivyo athirika na SIASA za HOVYO za NCHI HII. Nilikuwa nafikiria kuwa, ni wanasiasa na wafanya biashara kwa sehemu kubwa ambao walionekana kuwa wapo kinyume na ipendavyo SERIKALI/CCM, ndio walikuwa wanakiona cha mtema kuni. Kumbe, ni watu wengi wame/wanaumizwa!Sikukuu ya wajinga, anazuga ati ataenda lumumba saa 10:00 asubuhi. Pascal Mayalla Utawachota wengi leo
Ameamua.kustaafu au kastaafishwa baada ya mwenendo wake kushtukiwa siku nyingi kuwa alikiuka maadili ya kazi yake akawa anahubiri na kupuliza vuvuzela la kijani.Wajanja wamejua hili siku nyingi.Na huko darubini yao imemkataa tayari jimbo lina mwenyewe.Tukumbuke leo april mosi mzee baba ameamua kustaafu!
Naona uko kwenye sherehe yenu mkuu.Kwa akili zako hizi za kushikiwa hiyo mitandao uliyoitaja huiwezi
Twitter inahitaji akili kubwa, nakushauri ujikite zaidi facebook
Instagram huiwezi na njaa zako maana bando lake huliwezi
Snap nenda ukajiuze, kaungane na makonda huko mtafute wanaume wawafire! Makonda atakupa uzoefu katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app