Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Sikukuu ya wajinga, anazuga ati ataenda lumumba saa 10:00 asubuhi. Pascal Mayalla Utawachota wengi leo
Pamoja na kuwa ameandika KIMASIHARA SIHARA, lakini ametufahamisha jinsi alivyo athirika na SIASA za HOVYO za NCHI HII. Nilikuwa nafikiria kuwa, ni wanasiasa na wafanya biashara kwa sehemu kubwa ambao walionekana kuwa wapo kinyume na ipendavyo SERIKALI/CCM, ndio walikuwa wanakiona cha mtema kuni. Kumbe, ni watu wengi wame/wanaumizwa!
Pamoja na kuwa ametaka kutukumbusha ule usemi usemao, ADUI YAKO AKIKUSHINDA, BASI UNGANA NAYE, bado siamini kama anaweza kufanya alichokiandika. Labda ingekuwa SIO TAREHE YA LEO.
Yote kwa yote, MASWAIBU yake yamenisikitisha, ambayo kwa siasa za Nchi yetu zilivyo, sidhani kama nazo ni za FULISHI FULISHI DEI!
 
Huyu jamaa anaweza kufanya hivyo maana ni muda mrefu amejitahidi kutete utawala wa awamu ya 5 kwa nguvu zote, nadhani tayari kilio chake kimesikika na huenda ili afikie ule mji wa ahadi kapewa masharti ya kuachana na JF , na pengine kahaidiwa kukabidhiwa jimbo hapo baadae. ......The last droplets determine colour change.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbuke leo april mosi mzee baba ameamua kustaafu!
Ameamua.kustaafu au kastaafishwa baada ya mwenendo wake kushtukiwa siku nyingi kuwa alikiuka maadili ya kazi yake akawa anahubiri na kupuliza vuvuzela la kijani.Wajanja wamejua hili siku nyingi.Na huko darubini yao imemkataa tayari jimbo lina mwenyewe.
 
Siasa, siasani,

Kila kitu kule kinawezekana, Embe kulifanya Chungwa Inawezekana,

Hongera mh mtarajiwa bwana Mayalla
 
Kwa akili zako hizi za kushikiwa hiyo mitandao uliyoitaja huiwezi
Twitter inahitaji akili kubwa, nakushauri ujikite zaidi facebook

Instagram huiwezi na njaa zako maana bando lake huliwezi

Snap nenda ukajiuze, kaungane na makonda huko mtafute wanaume wawafire! Makonda atakupa uzoefu katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uko kwenye sherehe yenu mkuu.
 
Sitaki kuamini kama hiki ninachosoma ni kweli, japo umefanya unafiki mwingi wa kuuma maneno juu ya CCM na serikali ya awamu hii ila ni tofauti na kujidhihirisha namna hii.
Naweka akiba ya maneno, saa 4 sio mbali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Eti kuna mtu alimuita njaa na kweli njaa ikamwandama. Mmmmmh. Kweli hii nchi waliosoma wengi vilaza.
Au kweli huyu jamaa ni nusu-god. Nami jina langu ni boss haswaa . ngoja nifanye nimfate nikawe sonko na mie
 
Back
Top Bottom