Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Una mapepo.Si bure.
 



Kwani kujamba haifai mbele ya Mpenzi wako?

Wanasaikolojia wanasema mojawapo ya kigezo cha kuwa uko kwa Mpenzi umpendae Kwa dhati ya moyo ni pamoja na uwezo wa kuweza kusema chochote na kufanya kila kitu [emoji108] (speaking and doing anything and everything).
Heshima ikiwa palepale.

Ukiona uko kwenye penzi na mtu lakini eti ufanye kujifikiria cha kusema na kujiuliza sijui atanichukuliaje au nifanyeje ujue hapo bado hamfafikia patamu.!

Ukiona huna Uhuru wa kukutana kuwa na Mpenzi wako mpaka uoge , upate meckups, perfume, uvae urambie n.k. Ujue bado huyo sie mwenyewe wa asili. [emoji108]
 
Karma is a bitch ........wait for your turn bro , utaomba siku zije kurudi nyuma uwe na huyo mkeo nakuambia....

Very soon utajionea....asiefunzwa na ***** hufunzwa na wanawake wadangaji wa mjini wanaopambana ku maintain muonekano wao na shepu zao
 
hata wewe anakuvumilia tu,jitafakari kabla ya kufanya ujinga unaotaka kuufanya
utakuta mtu mwenyewe hela huna unijishebedua tu
nimepitia nyuzi zako hata wewe hauvumiliki una matatizo kibao mwanaume kila kitu unalalamika?
 

Nakupa go ahead
Mle kimasihara huyoo[emoji16]
 
usijaribu kufanya hivyo Mungu atakuadhibu vibaya
 
Mtoa Mada mie niko upande wako.
Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia

Wanawake wengi wakiolewa wanabweteka, hawawi wasafi kama mwanzo, hawana ubunifu hawapendezi etc.
Pia kuna kurogwa jamani (Mtajuaje kama jamaa alipigwa Limbwata na sahivi dawa ime expire anaona uhalisia?)

Kama huridhiki nae mpige chini au kama dini inaruhusu OA mke wa pili huyo abaki kama mke wa kwanza.

Mie mwenyewe siwez ongozana na Kibungo..

Ah unatakiw ukitoka na mkeo kila mtu anasema Yes...!
 
Tena haya maamuzi yafanyike haraka iwezekanavyo.
 
Rubbish.
 
Whats the logic behind ur question?
 
Hicho ndo kinasababisha (ga) yafuatayo:-

1) kuishi mpaka kuzeeka pamoja.

2) mmoja kufa hasa mwanaume ili kuonekana kifo kimetutenganisha ila kimsingi katangulizwa.

3) kukosa maendeleo kwa kuwekeza zaidi nje kwa michepuko ambako matunda yake hata yakiwa ni mazuri huwezi kuyaleta ndani, utakula huko huko nje tu.

All in all, ndoa ni mwiba mchungu sana kwa wanandoa wote, tulichozidiana ni uwezo wa kuhimili tu.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mbaya unamtunza ipasavyo
Hapendezi unamnunulia viwalo ipasavyo au ndo vya buku buku.

Tafuta huyo mwingine baada ya mwezi atakua ametembea na ukoo wako mzima hadi baba ako, baada ya hapo atakupeni gono lisilotibika,
Muda umepelekwa hosi atabeba kila kitu ndani hadi brush la chooni ukitoka hospital kurudi nyumbani kikojoleo kimekatwa, huna uwezo wa kuzalisha.
Kodi imeisha unaenda kuomba Kazi za ndani unakutana na huyo mkeo anatoka ndani ya geti na ndinga kali kabla ujasema kitu anakupa pesa ya kodi na biashara.
Unaenda mtaani unafanikiwa hapo kidg inarudi kumshukuru, Hapo anakutimua kama mbwa Koko kwa sabb huna thamani tena.

Tujifunze kua na shukrani
 
Sure,hii case iangaliwe pande mbili za shilingi tusimkandamize Sana jamaa dunia Ina mengi
 
Mpk unafunga na ndoa ulishikiwa bunduki?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…