Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Unahitaji wangapi?Nimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
Strong and fearless!Nimeamua nibadilishe type za wanaume π

Hatukutaki endelea na matoziNimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
Mm niko hapa πHao ni wanaume karibu 20. Ngoja waje
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiπ
ni swala la muda tuππ
Tusidanganyane, nyama tofauti, ladha tofauti na utamu tofauti.Utamaliza bucha nyama ni Ile ile
Amini kwamba nyama ni Ile ile..Tusidanganyane, nyama tofauti, ladha tofauti na utamu tofauti.
Ingekuwa n hvy bc watu wasingekuwa wanachepuka, hayo mapishi yapo kwenye ladha. Mana hata hvy viungo n tofauti.Amini kwamba nyama ni Ile ile..
toafuti ni mapishi.
No new substance is formed.
Na tusiochanja tunangoja mliochanja mgeuke mazombi!!!π€£π€£π€£Roho yangu inaniuma sana kuona nyie ambao hachanja chanjo ya covid bado mnaishi kwa furaha
Wewe "k" yako imeishatembea kilometer ngapi tuanzie hapo! Isije ikawa imeisha kuwa mdebwedo alafu unaanza kuweka vigezo na masharti kana kwamba yaliyomo yamo!Nimeamua nibadilishe type za wanaume π