Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Maneno ya waliotendwa
 
Hii Kali
 
Kidney ktk ubora wakee, ngoja waje hao wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bado uko naye sambamba.!!
Kwani mligumiana wapi uduguu??
 
Ukishakuwa naye baadaye utaanza kumcheat na wale wanaume ambao huwaoni washamba maana hapa ushasema huyo ni mshamba ila baada ya ndoa utakuwa unatoka na wajanja na bila shaka muda mwingine hutaki kumtambulisha kwa rafik zako.
 
Wewe umeswampaa mpk imekuwa lapulapu afu umuuzie mwenzio mbuzi kwenye gunia!! Tafuta kulumbembe mwenzio mahi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, kwa sponsa m1 hivi. Yaan aaaah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndiomana nilijua tyuu!! Sio yule nonino kweli β€œza kukwangua?” Yule bana uduguu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiomana nilijua tyuu!! Sio yule nonino kweli β€œza kukwangua?” Yule bana uduguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu jamaniii, kwann lakiniii.
Hivi kuna ubuyuu, natamani uniulize/uniambie nashangaa kimyaa.

Ni kwamba huujui au haujakufikiaa?
 
Mungu hajawahi kuumba full pack ya hivi. Utasubiri sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu jamaniii, kwann lakiniii.
Hivi kuna ubuyuu, natamani uniulize/uniambie nashangaa kimyaa.

Ni kwamba huujui au haujakufikiaa?
Weeeh sina uduguu!! Si unajua hapa kati nilikuwa busy na husiano lilotaka kunitoa roho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipe bana ubuyu huo nakuja bobo
 
NOTE : KWANZA UYO MWANAUME HAWEZI KULIONA HILI TANGAZO.

Hakika utafanikiwa sasa itabidi uingie Mawindoni kama ( Chukoo, ) YALAMA na mawindo yako yawe out of Town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…