Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Shukrani mkuu, nadhani sio halmashauri hiyo ni taasisi.
 
Nina diploma ya Environmental health science ( Ubwana afya GPA ya 2.7 siwez soma degree Kwa hii GPA) ushauri nirudi chuo nikasome mwaka mmoja Kwa jili ya kubadili GPA niweze kwenda degree miaka 4 or nikasome vector control miaka miwili diploma ambayo wanachukua GPA ya 2+
 
Sasa tofauti ya mshahara wa mwalimu wa degree aliye halmashauri na IT au mhasibu wa halmashauri ni kiasi gani?
 
Watu wana Masters za information technologies wapo kitaa,jichanganye tu utakumbuka Kigoma.Omba uhamisho nenda Mjini ukatimize ndoto zako,kamwe usiache kazi
 
Mtoa mada unataka kuwa kiongozi au mfuasi. Kusoma na biashara yote yana faida zake na hasara zake.Ajira ni maisha ya kuwa mfuasi wa mtu au kikundi cha watu ila biashara yako kwa 15m ni wewe ndio bosi/ kiongozi na waweza kurithisha familia yako.Nakushauri fuata ndoto zako ila pia anza utafiti ni biashara au mradi gani utakaokusaidia kiuchumi.Kwa nchi yetu wasomi ni wengi wasio na kazi hii inakatisha tamaa ya kusoma
 
Watu wana Masters za information technologies wapo kitaa,jichanganye tu utakumbuka Kigoma.Omba uhamisho nenda Mjini ukatimize ndoto zako,kamwe usiache kazi
Acha uongo, IT ni moja ya field chache ambazo ukiwa na ujuzi barabara haukosi kazi.Na kazi za IT zinataka practical knowledge. Kwaiy km unajua kazi zipo ila km unababaisha hupati kazi ata ulie machozi ya damu
 
Hakuna utofauti wowote mkuu, lakini halmashauri Kuna marupurupu kidogo ukilinganisha na ualimu.
Kwa hiyo unataka upoteze pesa na muda kwenda kusoma kwa sababu ya marupurupu

Sasa hauoni pesa zaidi ya hayo marupurupu ungeipata kwenye biashara?

Tumia akili unapofanya maamuzi. Marupurupu wala mshahara havijawahi kutosha

Hapo Kigoma uko halmashauri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…