Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

Haitoshi lakini itakufikisha mbali, haswa kama msingi ushapiga.
 
Kwa nini hadi uje uulize JF...

Tafuta fundi na ufanye hesabu ya vifaa vitavyohitajika mfano idadi ya tofali, mifuko ya simenti, mbao, nondo, hela ya mafundi...

Ukishakuwa na hesabu hiyo, linganisha na pesa uliyonayo...
Mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?
 
mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?

Kwa hiyo jukwaa la ujenzi ndio linafundisha watu kuwa na maarifa madogo tu kama haya?

Kwa kuwa jukwaa la ujenzi lipo, basi mpe jibu la moja kwa moja mdau hapo kama hiyo M1 yake itamtosha kujenga hicho anachohitaji...
 
Mkuu hutak kuambiwa ukweli, 1m unajengaje? Nikushauri nunua kitu kimojawapo mfano tofali weka site kisha rudi kuhustle tena, ukipata rudi nunua bati zihifadhi, kisha endeleza hustle ukipata unatafuta fundi wanashangaa nyumba hii.hapa
Mkuu nimewaza yaani sijui atabajetia vipi,maana mi hapa madirisha tu hiyo hela ni mara 3 , hata shimo la choo na system za maji haitoshi.
 
Kwa bei hiyo,ramani ifuatayo itakufaa πŸ‘‡
 
Kama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji
 
Kama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]home of gt
 
Endelea kula tunda mapangoni mjusi weweView attachment 2257370
SASA milioni 1 si ugonjwa huu........yaani Yule Tu mwizi WA serikali alijenga kibanda cha mlinZi Kwa milioni 7🀣🀣🀣 SASA wewe unataka kujenga chumba na sebule Kwa milioni 1 ........kwani umelazimishwa ?? Si urudi kijijini ukajenge gorofa la matope......hapa mjini hakuna urahisi kama hauko kwenye connection
 
Kazi inaendelea.
leo nimesafisha plot inawaka hatari.
chukua picha hio weka Dp watsap
 
Kwa pesa hiyo ni ndogo ungefanya kwanza price quotation ya material na ufundi ili ujue una kiasi gani, ila ni hela kidogo sana unjenzi unatafuna sana hela
 
Mil moja ukisimamia mwenyewe utasimamisha boma la room moja, huko juu utajipanga tena
 
Unataka kuja kunitembelea na Range Rover mkuu?

nafasi ya parking ipo, most welcome
Akijua eneo ulipo, atakushauri kutokana na gharama ya vifaa vya ujenzi hapo. Gharama ni tofauti kila eneo, ukificha usitegemee kupata jibu sahihi. Pia sio lazima utaje mtaa, sema Dar, Mwanza au Mbeya wilaya flani hivyo. Mficha uchi hazai!
 
Akijua eneo ulipo, atakushauri kutokana na gharama ya vifaa vya ujenzi hapo. Gharama ni tofauti kila eneo, ukificha usitegemee kupata jibu sahihi. Pia sio lazima utaje mtaa, sema Dar, Mwanza au Mbeya wilaya flani hivyo. Mficha uchi hazai!
Ata awe anajenga mpitimbi haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…