makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Haitoshi lakini itakufikisha mbali, haswa kama msingi ushapiga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo kwa kukatishana tamaa bwana!!!Kwa hela hiyo hata hema dogo la turubali hupati
Mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?Kwa nini hadi uje uulize JF...
Tafuta fundi na ufanye hesabu ya vifaa vitavyohitajika mfano idadi ya tofali, mifuko ya simenti, mbao, nondo, hela ya mafundi...
Ukishakuwa na hesabu hiyo, linganisha na pesa uliyonayo...
Atakwambia kama huna 100m hujengi na hapo anaishi kwa shemeji yakeWabongo kwa kukatishana tamaa bwana!!!
Kwa hiyo mkuu kama hiyo wewe ulijenga kwa bei gani maana ulivyoandika ni kama una idea.
mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?
Mkuu nimewaza yaani sijui atabajetia vipi,maana mi hapa madirisha tu hiyo hela ni mara 3 , hata shimo la choo na system za maji haitoshi.Mkuu hutak kuambiwa ukweli, 1m unajengaje? Nikushauri nunua kitu kimojawapo mfano tofali weka site kisha rudi kuhustle tena, ukipata rudi nunua bati zihifadhi, kisha endeleza hustle ukipata unatafuta fundi wanashangaa nyumba hii.hapa
Kwa bei hiyo,ramani ifuatayo itakufaa 👇Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza)
Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana.
Size ya kiwanja ni 25*23 hatua zangu za miguu.
View attachment 2254960View attachment 2254960
Kiwanja kina msingi wa vyumba viwili, sebule na choo & bafu. Wana ndugu, nimehamasika sana kujenga nyumba ya mwendokasi; chumba na sebule. Budget yangu ni milioni 1. Baadhi ya raw materials kama mchanga na maji ni vya bure maana nachota kando ya mto.
Tofali nanunua za choma. Fundi kanishauri nijenge kwa kutumia Molam.
Naombeni maoni na ushauri
Acha kukatisha tamaa watu.Kwa hela hiyo hata hema dogo la turubali hupati
Kama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji
Endelea kula tunda mapangoni mjusi weweKama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji
SASA milioni 1 si ugonjwa huu........yaani Yule Tu mwizi WA serikali alijenga kibanda cha mlinZi Kwa milioni 7🤣🤣🤣 SASA wewe unataka kujenga chumba na sebule Kwa milioni 1 ........kwani umelazimishwa ?? Si urudi kijijini ukajenge gorofa la matope......hapa mjini hakuna urahisi kama hauko kwenye connectionEndelea kula tunda mapangoni mjusi weweView attachment 2257370
Kazi inaendelea.SASA milioni 1 si ugonjwa huu........yaani Yule Tu mwizi WA serikali alijenga kibanda cha mlinZi Kwa milioni 7🤣🤣🤣 SASA wewe unataka kujenga chumba na sebule Kwa milioni 1 ........kwani umelazimishwa ?? Si urudi kijijini ukajenge gorofa la matope......hapa mjini hakuna urahisi kama hauko kwenye connection
Mbona kama unachoma mafusho?? Je wewe ni mganga??😂😂😂😂Kazi inaendelea.
leo nimesafisha plot inawaka hatari.
chukua picha hio weka Dp watsap
View attachment 2267829
Akijua eneo ulipo, atakushauri kutokana na gharama ya vifaa vya ujenzi hapo. Gharama ni tofauti kila eneo, ukificha usitegemee kupata jibu sahihi. Pia sio lazima utaje mtaa, sema Dar, Mwanza au Mbeya wilaya flani hivyo. Mficha uchi hazai!Unataka kuja kunitembelea na Range Rover mkuu?
nafasi ya parking ipo, most welcome
Ata awe anajenga mpitimbi haitoshi.Akijua eneo ulipo, atakushauri kutokana na gharama ya vifaa vya ujenzi hapo. Gharama ni tofauti kila eneo, ukificha usitegemee kupata jibu sahihi. Pia sio lazima utaje mtaa, sema Dar, Mwanza au Mbeya wilaya flani hivyo. Mficha uchi hazai!