Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

Haitoshi lakini itakufikisha mbali, haswa kama msingi ushapiga.
 
Kwa nini hadi uje uulize JF...

Tafuta fundi na ufanye hesabu ya vifaa vitavyohitajika mfano idadi ya tofali, mifuko ya simenti, mbao, nondo, hela ya mafundi...

Ukishakuwa na hesabu hiyo, linganisha na pesa uliyonayo...
Mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?
 
mpaka sasa hujui kwanini kuna jukwaa la ujenzi ?

Kwa hiyo jukwaa la ujenzi ndio linafundisha watu kuwa na maarifa madogo tu kama haya?

Kwa kuwa jukwaa la ujenzi lipo, basi mpe jibu la moja kwa moja mdau hapo kama hiyo M1 yake itamtosha kujenga hicho anachohitaji...
 
Mkuu hutak kuambiwa ukweli, 1m unajengaje? Nikushauri nunua kitu kimojawapo mfano tofali weka site kisha rudi kuhustle tena, ukipata rudi nunua bati zihifadhi, kisha endeleza hustle ukipata unatafuta fundi wanashangaa nyumba hii.hapa
Mkuu nimewaza yaani sijui atabajetia vipi,maana mi hapa madirisha tu hiyo hela ni mara 3 , hata shimo la choo na system za maji haitoshi.
 
Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza)

Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana.

Size ya kiwanja ni 25*23 hatua zangu za miguu.

View attachment 2254960View attachment 2254960

Kiwanja kina msingi wa vyumba viwili, sebule na choo & bafu. Wana ndugu, nimehamasika sana kujenga nyumba ya mwendokasi; chumba na sebule. Budget yangu ni milioni 1. Baadhi ya raw materials kama mchanga na maji ni vya bure maana nachota kando ya mto.

Tofali nanunua za choma. Fundi kanishauri nijenge kwa kutumia Molam.

Naombeni maoni na ushauri
Kwa bei hiyo,ramani ifuatayo itakufaa 👇
IMG-20220509-WA0008.jpg
 
Kama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji
 
Kama ni makazi ya kuku sawa.....Ila kama unatarajia yawe yako na urete demu Kwa ajili ya kumla jua wewe ni ng'ombe asiye na mfugaji

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]home of gt
 
Endelea kula tunda mapangoni mjusi weweView attachment 2257370
SASA milioni 1 si ugonjwa huu........yaani Yule Tu mwizi WA serikali alijenga kibanda cha mlinZi Kwa milioni 7🤣🤣🤣 SASA wewe unataka kujenga chumba na sebule Kwa milioni 1 ........kwani umelazimishwa ?? Si urudi kijijini ukajenge gorofa la matope......hapa mjini hakuna urahisi kama hauko kwenye connection
 
Kazi inaendelea.
leo nimesafisha plot inawaka hatari.
chukua picha hio weka Dp watsap
IMG_20220621_152920_013.jpg
 
Kwa pesa hiyo ni ndogo ungefanya kwanza price quotation ya material na ufundi ili ujue una kiasi gani, ila ni hela kidogo sana unjenzi unatafuna sana hela
 
Mil moja ukisimamia mwenyewe utasimamisha boma la room moja, huko juu utajipanga tena
 
Unataka kuja kunitembelea na Range Rover mkuu?

nafasi ya parking ipo, most welcome
Akijua eneo ulipo, atakushauri kutokana na gharama ya vifaa vya ujenzi hapo. Gharama ni tofauti kila eneo, ukificha usitegemee kupata jibu sahihi. Pia sio lazima utaje mtaa, sema Dar, Mwanza au Mbeya wilaya flani hivyo. Mficha uchi hazai!
 
Ata awe anajenga mpitimbi haitoshi.
 
Back
Top Bottom