Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

JPM alifanikiwa sana kutengeneza watu wa ajabu wachache wa aina yako!
 
Duh, kazi ipo aisee!
 
Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
Yote kadanganya yule tulimnywesha sumu ya panya.
 
Haina uhusiano....
 
Is the approach correct to build their legacy?
 
Wakati wao wapo busy kutafuna keki ya nchi, huku mtaani kwetu ‘panya road’ wamerudi upya.

Maisha yenye magumu tayari. Halafu tena tuanze kujihami na vikundi vya unyan’ganyi mchana kweupe tena kipigo juu kwenye kuporwa; dah.
 
..wamezungumzia Tanzanite na wamefika mpaka mgodini.

..bahati mbaya mbuga kama katavi, kitulo, burigi-chato, gombe,...hazikuonyeshwa.
Bora tuangalie zile filamu zetu za General Luhanga na Mwita Marwa wakiwa kule mstari wa mbele. Na kusikiliza hadithi za Gen Shimbo tujue moja
 
Royal Tour Imechukua Muda Mchache Kutengenezwa ,Itakaua Na Mapungufu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanafanikiwa sana tunapopoteza muda kwa mitafaruku sisi watu wa chini. Hii ndio afrika.
Hakuna anaye reason kwa manufaa ya wengi.

Labda wale mmesikiliza na kuiona. Je kifo cha Jpm iwe kwa Covid 19 , moyo au kukabwa na walio kuwa.karibu. ni sehemu ya Utalii?

Kwamba kulikuwa na covid ikamuua . Je ni kivutio pia?
Au inaelezea kuwa sasa COvid haipo iliondoka na aliyehitajika? Au alipoondoka tukaweka mikakati na kuidhibiti?

Sijaiona Royal Tour. Nahisi mnamsingizia bi mdashi
 
Jiwe alimuamin mwanamke haraka kisa ni mweupe akaona itakua ni burudani akiwa karibu yake sasa mwanamke huyo huyo kanunuliwa ndo kawa chanzo cha maangamizi yake
Hata Samson aliuzwa na delila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…