Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?

Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?

Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.

Wewe khasa ndiye unayemnanga bali kumbagaza marehemu juu ya sababu ya kifo chake.
 
Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
 
..waliokuwa wakimsakama Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha Jpm wanapaswa kumuomba radhi.
 
Hakuna mwenye hakika wanajua huko juu alikufa na nini huku sisi tupambanie makombe mengine.
 
..hujasikia Maza amesema nini kwenye hiyo video?

..yeye ndiye Mtz mwenye vyanzo vingi na vya uhakika vya taarifa kuzidi wote.
 
Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
wacha twende taratibu ipo siku tutaujua ukweli na hisi kuna kitu hakiko sawa na wanajua na nafsi zao zinawasuta MWENYEZI MUNGU uturehemu
 
Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?

Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?

Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
Su-gang on move...!huu ni wakati wa wengine kubalini tu kwa kweli,"mtapata tabu sana"
FILAMU NI NZURI NA INAVUTIA SANA PIA NI FAHARI KWA TANZANIA.
IMETENGENEZWA KWA PLAN YA KUDUMU KIUBORA KWA VIZAZI NA VIZAZI.
 
Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?

Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?

Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
kila siku napishana na watalii hapa Zanzibar
 
Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
Sisi hatujaiangalia hiyo royo tua,wamemuelezea magu kwenye ishu gani??
 
Samia anakiri kwamba Magufuli alipata korona.

Ila alituambia tarehe 17/03/2021 kuwa Magufuli alifariki kwa matatizo ya moyo aliyokuwa nayo muda mrefu.

Je . Magufuli aliugua Korona lini??

Na je kwanini iwe sehemu ya Royal Tour??

Bila shaka madalali wa Chanjo ya Kovid ndio wamelipia fedha za kuitengeneza hiyo documentary.
 
Back
Top Bottom