Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?
Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?
Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
Wewe khasa ndiye unayemnanga bali kumbagaza marehemu juu ya sababu ya kifo chake.