Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Umeandika kiswahili cha aina yake....Hii filamu ni sisi tuliwaomba watuombe watutengenezee au wao walituomba tuwaombe watutengenezee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kiswahili cha aina yake....Hii filamu ni sisi tuliwaomba watuombe watutengenezee au wao walituomba tuwaombe watutengenezee?
Una matatizo gani. Mbona kama unafumaniwa hivi.Kabla hujaelewa kitu mtu kaandika usikimbilie ku comment is
😂😂
Mkuu, hapo dawa ni shoo tu😊
Naomba anauni yako ya makazi.
Weka nafasi ili niweze kusoma ulichoandika Mkuu.Hii filamu imeonesha mbuga zote na kila kivutio kilichopo nchini. Sema tu kama ilivyo ada vijana wa kitanzania mara nyingi huwa tayari kutumiwa na maadui dhidi ya nchi yao wenyewe kupitia kigezo cha utofauti wa kisiasa. Nchi kama Israel, New Zealand, Rwanda nk zimesharekodi filamu hizi za Royal Tour kwa mtindo huu huu. Lakini kwa vile vijana wao wana mioyo ya utaifa, uzalendo, elimu na akili, basi ilikuwa ngumu maadui wa nchi hizo kuwatumia vijana wa mataifa hayo kuandika propaganda za ushuzi kama hizi tunazoshuhudia kwa vijana wetu. Nimeamini ni kwann mwl Nyerere alikataa siasa ya vyama vingi, maana aliwaelewa tosha vijana wa kitanzania walivyo mbumbumbu katika kuchanganua mambo, na kwamba ni rahisi sana wao kuhadaika na pengine kupelekea kuiingiza nchi yao wenyew machafukoni kwa faida ya walio/wanaowatuma. Maadui wa taifa mara nyingi wamekuwa wakipitisha ajenda zao kimya kimya kupitia huu unaoitwa uhuru wa kutoa maoni, wanasiasa uchwara nk.
Ndio Kubwa kwa Tz, followed by Ruaha then SerengetiSelous kubwa kweli kweli
Ni filamu ya upigaji na ya kitoto. Rais ameingia kingi na kujidhalilisha. Hakuna cha maana. Ni kashfa nyingine ya kitaifa. Huyo Royal Tour, muhuni fulani, alishashindwa Rwanda.Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania. Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa. Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Hakuna anayekufanya wewe zombi, JPM alikuwa na hulka moja sio nzuri, kutawala vyombo vya habari na kutaka asikike yeye tena kwa mtazamo chanya tu. Hakupenda kusikia habari mbaya, hakuweza kuvumilia changamoto.Huu ni muda wa mama kuwafanya wanae kama mazombi baada ya baba yao kufanikiwa sana kabla hajatangulia kwa Sir God.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mwanzo ni mgumu kidogo, naona next time atafanya vizuri zaidi, hata alivyoulizwa changamoto gani kazipata hili swali limekua tofauti katika majibu yake labda kwasababu ya lugha, ila alisema changamoto ni kupitia kila kivutio maana vipo mbali, kweli tuna vivutio vingi sana hii ilitakiwa iwe shirikishi kwa wadau wa sekta ya utalii ingefana sana ingekua moja kazi nzuriNimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania. Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa. Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Mzungu amepiga pesa yake akalala mbeleNimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

Yule alikuwa mtu hatari snHakuna anayekufanya wewe zombi, JPM alikuwa na hulka moja sio nzuri, kutawala vyombo vya habari na kutaka asikike yeye tena kwa mtazamo chanya tu. Hakupenda kusikia habari mbaya, hakuweza kuvumilia changamoto.
Kama na wewe ni mmoja wa walioingia katika mtego huo huu ni wakati wa kuanza kuitazama Tanzania katika uhalisia wake. Rais SSH anatupa picha ya ukweli ya nchi yetu na ni ile tusiyopenda kuisikia baada ya miaka mingi ya propaganda kuibuka mshindi.
Umei download hile application [emoji16][emoji16][emoji16] tambua kwamba you are next to die [emoji1782]Nimetoka kuangalia filamu ya COUNTDOWN.....[emoji33][emoji33][emoji3063][emoji3063][emoji27][emoji27][emoji27]
Naogopa kwenda chumbani
Naogopa kubaki hapa sebleni mwenyewe
Naogopa kwenda maliwato na nimekunywa mvinyo mtamu kachupa kameisha....
Na kesho saa 12 alfajiri natakiwa niwe kwenye usafiri nna safari....
Eeh Mola nani alinituma kuiangalia hiyo movie....
Hata usingizi wenyewe umekata.....
Sorry sijasoma hata uzi unasemaje zaidi ya kichwa cha uzi...
Granny is scared [emoji47]!!
Character lazima alipwe mama atalipwa, hata film zingine producer anatengeza then anamegea chake characters ndiyo yeye anapoiuza anajilipaMkuu Mzee Mwanakijiji , hii filamu ni yao, walituomba watutengenezee, tukakubali, wametumia gharama zao, na sasa baada ya uzinduzi, wataendelea na biashara yao kurudisha gharama zao, huku sisi tukifaidika kutangaziwa utalii wetu bure bure.
Tena mbele ya safari, in future, mnaweza kuja kuwa surprised kukuta hata the main character, alilipwa tuu kama ma starring wengine wote wa movies nyingine zote!, the only difference, zile nyingine ni fiction movies, this is non fiction.
P
Nakubaliana na hicho unachosema mtalii haji kuangalia wanyama na kuoumzika tu madini pia ni sehemu ya kivutio kwa kweli tuna vivutio vingi sana hili taifa, mfano jiwe la ruby kule dubai limevunja rekodi kila mtu anataka kuliona, ni kweli wangeweka na madini ingeleta fursa nyingi zaidiAfadhali usiiangalie utapoteza muda wako bure, bora muda huo uchukue rozari tu usali, maana tulitarajia sehemu kama kitulo ziwemo, utalii wa chakula hasa vyakula vya pwani pwani na bara, ruaha, wangetupia na madini mengi tuliyonayo, Nadhani dhana ya utalii hawaielewi vizuri mtalii haji kupumzika tu wengine anakuja na kuangalia fursa za hapa na pale
Acha masihara basi mkuu hahahaMwenzio kapewa tapishi hili na mabwanyenye ya nchi jirani, ambayo yalitaka dunia iendelee kuamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya na ziwa Nyasa ni la Malawi.
Hii film inakwenda kuwaumbua na kuwalaza njaa mabwanyenye wote. Maana dunia itaelewa ukweli kuhusu mmiliki halisi wa mlima Kilimanjaro, ziwa Nyasa nk. Hongera raisi wetu Samia.
Naunga mkono hojaIna nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?
Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?
Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.