Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Siyo rahisi kufanya unachofikiria kichwani mwako maana nivigumu kuingia ndani ya ubongo wako wamefanya kulingana na mawazo Yao pamoja na script.

Muhimu ni kuanzisha njia kuweka uelewa isingekuwa vema kuonesha kila kivutio ili kusiwe na ulazima WAKUJA Bongo ili uingize kipato hiyo imekaa kibiashara ili watamani alafu waje wajionee nasi tupige pesa.

Jukumu Muhimu la kiongozi wa nchi ni kutengeneza fursa Kwa WANANCHI wake ikiwezekana kutoa ramani ya kupata pesa Kwa wananchi.

Ameanzisha Sisi tuendelee alipoishia.
 
Chadema wao kila kitu ni ulalamishi.. Sijawahi kuona serikali imefanya jambo lolote wakapongeza au hata kuunga mkono.

Watuambie tu wao wakishika madaraka watafanya nini!?​
 
Mimi naona iko poa tu cha maana ni kutangaza nchi mfano niliona clip watu wengi LA California walikuwa hata hawafahamu Tanzania

..i thought mkakati wetu ni kufungua maeneo mapya ya utalii kama mbuga zilizoko kusini na magharibi.

..documentary imejikita maeneo yaleyale tuliyoyazoea jambo ambalo mimi naona ndio udhaifu wake.
 
Yah PIRANHA ni samaki ana meno km ya papa.sasa kwa udogo wake na spidi ya kutafuna ndo balaa lilipo.
Na huyu alikua mkubwa kalelewa kiupole wale binadamu walienda huko kula bata tu walimletea utani akamgegeda mmoja, ,badae wale walikua emwlte wakazama majini wamtafute kunbe kule piranha wengine wameona damu wakaja.
Waliliwa watu hapo wako beach km ibiza huko mpk walikoma waliikuja kumuua yule samaki google utaona

Okay ntaitafuta niiangalie ila iwe mchana usiku nisipate tabu kulala kwa woga 😜.
 
Fanya Yako kisha uipende, ulitaka aact xxxmars ndo upende kutizama,
 
huko ulikotembelea USA basi walikuwa ma-illitrate wa kufa mtu yale mateja hasa maskini wa kutupwa...hawakusoma kabisaaa....hii ni jiografia ya drsa la saba zamani sana yaani World Geography!! Please usituambie habari za watu maskini ambao hawakwenda shule!! Unasikia?.....yaani huko USA ulitembelea mazogoroni ndg....halafu ni ushamba kudhani kuwa woooote huko wamesoma. Kwa kuwa tu wa hela. Na mabomu mengi ya Nuc.

Ok
 
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.

Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.

Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania. Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.

Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa. Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.

NB:
Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Wazungu wenye idea na wamiliki wa filamu walitaka hivyo na ndivyo ilivokuwa. Kama unataka vivutio vipya na ufurahi leta fedha tuingia mzigoni!!
 
Okay ntaitafuta niiangalie ila iwe mchana usiku nisipate tabu kulala kwa woga 😜.
Ni movie tu kesie, nimeenda huko Peru nikafika nauliza Piranha,PIRANHA.
Wakanambia huyu hapa.
Kweli ni yule.
Jamaa ndo kwanza wanauliza tumfanyeje?
Nawaambia nyinyi mtengenezeni vile mtaona anafaa.
"Ceviche"ikapigwa ya piranha😁
 
..wamezungumzia Tanzanite na wamefika mpaka mgodini.

..bahati mbaya mbuga kama katavi, kitulo, burigi-chato, gombe,...hazikuonyeshwa.

Ingekuwa ndefu sana. Standard film za aina hii ni saa 1. Vigezo vimezingatiwa. Hii film ya mama ina muda wa dk. 58 sek. 42. Perfect. Hii siyo Isidingo.
 
Asante pascal jibu ni zuri hata kwa wale wanaopenda kuhoji hoji kila jambo huku wakijiona kana kwamba wao ndio wana akili nyingi kwelikweli.
Mbona unaonesha kama hupendi watu wanaohoji,unawaita "wanaohoji hoji Kila kitu"..acha watu wahoji maana kuhoji ni viashiria vya akili pia..kama utakuwa na majibu ya baadhi ya wanayo hoji,ukitoa majibu ni kiashiria Cha akili pia
 
Kujiona upo sahihi wewe tu na wengine wanafanya ya hovyo mf. ndg zetu CHADOMO,hili nalipinga...!,yaani sikuzote wao ndio wanajua kila kitu,nakataa ona #msigwa kasifu kazi nzuri ya #SSH,CHADOMO wamechukia wamemuita ili ajieleze look at how stupid they are?
 
Royal Tour ni movie 'filamu' au documentary 'makala'?
 
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.

Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.

Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania. Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.

Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa. Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.

NB:
Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
CCM siku zote itabaki kuwa useless na ndiyo maana vitu vyao ni vya kijinga tupu
 
Nimeaingalia yote; ni crap tupu. Siyo sinema ya kutangaza utalii Tanzania bali ni sinema ya kumtangaza Rais Samia!
 
Hii filamu ni sisi tuliwaomba watuombe watutengenezee au wao walituomba tuwaombe watutengenezee?
Huna jema wewe zaidi ya kumsifia mtu aliyeua watu KISA wanahoji hata shule yake. Akijiita mzalendo huku akiwaita watengeneza ndege chumbani bila hata nakala ya sheria ya manunuzi?
UZALENDO wa magufuli ulikuwa wa scarf kama yule wazir wa fedha
 
Back
Top Bottom