Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

Muna mchango gani sasa kwa taifa lenu na hizo degree zenu?

au ndio wale miongoni mwa.....Eat At The Length Of Ur Rope
Tatazo letu humu uelewa ndo shida. Mtoa mada kasema kitu Cha msingi. Lkn anavyoshambuliwa utafikiri ameiba.

Maada inaonesha ni kwa kiwango gan kama taifa Lina wasomi wachache sana na kuonesha tuna safar ndefu sana. Inatakiwa km taifa kuwekeza kua na wasomi wengi. Lakin mnamshambulia. Pamoja na huo uchache wake wanasiasa hawawapi nafasi. Na ndo wenye maamuzi hata kama atasimamia ukweli utaonekana uongo.
Sambamba na Hilo mfumo wetu wa elimu haumwandai mtu kupambana kutatua matatizo badala yake unatengeneza tatzo. Elimu yetu ni ya kukariri sio creativite wa problem solve.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Sku hizi tunaona aibu hata kusema tuna degree..maana...
Unakuta la 7 anamiliki room za kupanga na nyumba yake anamalizia ujenzi tayar ana watoto wakubwa maana alioa au aliolewa na 18 yrs sa hv ni mtu na mji wake....msomi ndo unaanza kujitafuta na ajira uchwara na mikopo ya FAIDIKA..
 
Mkuu, pengine kutokuwa na shahada kunafanya nishindwe kuchambua mambo.
Kwa hiyo thamani ya elimu inapimwa kwa idadi ya walioajiriwa?
komenti yangu haijazungumzia thamani ya elimu.
 
Watakuja kusema maliza chuo ili hiyo degree yako ikusaidie kutengeneza kahawa yenye sukari mtaani ukiwa na birika lako mkononi na kashata!

Bora hata wenye degree za ualimu, wanaweza kaa mtaani kwa miaka saba wakaajiliwa

Sasa wewe mwenzangu na mie mwenye Bs in Microbiology utajua hujui! Serikali ingeruhusu wenye degree kuzibandika usoni, ningesema ushauri wako una maana kwa 20%

Anyway u first year unakusumbua!
 
Wachache kulinganisha na nini?
Hao ni wengi sana kulinganisha na ajira za level ya elimu yao zilizopo na zitakazotengenezwa. Wasipojiongeza hizo degree zitaexpire bila matumizi yoyote.
 
Ndio mjiajiri so mnabaki degree sio mchezo afu umekaa kwa dada ako unasubiri shemeji yako STD 7 aje uoshe gari
 
Degree ya mchongo[emoji2955][emoji2955]
 
Hivi
S Masuala ya uchawi yanauhusiano gani na degree!!?hilo ni swala Binafsi!!!utafananishaje na degree!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…