witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Tatazo letu humu uelewa ndo shida. Mtoa mada kasema kitu Cha msingi. Lkn anavyoshambuliwa utafikiri ameiba.Muna mchango gani sasa kwa taifa lenu na hizo degree zenu?
au ndio wale miongoni mwa.....Eat At The Length Of Ur Rope
Maada inaonesha ni kwa kiwango gan kama taifa Lina wasomi wachache sana na kuonesha tuna safar ndefu sana. Inatakiwa km taifa kuwekeza kua na wasomi wengi. Lakin mnamshambulia. Pamoja na huo uchache wake wanasiasa hawawapi nafasi. Na ndo wenye maamuzi hata kama atasimamia ukweli utaonekana uongo.
Sambamba na Hilo mfumo wetu wa elimu haumwandai mtu kupambana kutatua matatizo badala yake unatengeneza tatzo. Elimu yetu ni ya kukariri sio creativite wa problem solve.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app