Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

Kinauzwa 120K mpaka 600K na hapo bado huja weka bando,😁😁😁 nacheka kama mazuri oky kila la kheri mkuu
 
Bado ni gharama! Tafuta dikoda pori za Starsat ule maisha!! Chaneli zote za diesitivii utazipata kitonga!! Ongea na watu uvae viatu!! Na watu wenyewe ndio sasa…
 
Tatizo la mbongo ni kutohitaji kuambiwa ukweli,wewe Kuna sehemu umeandika humu kama Bundle likikata unaenda kibanda umiza kwa 500 na kama huna basi mdau anakulipia,now unaongea vyengine 😁😁😁
Umeanza kuchanganya Mambo,mdau juu kasema nimewakimbia DStv,nikamjibu sio siku zote utakua sawa kiuchumi,Kama sielewi naenda kibanda umiza na jero,

Maelezo ya comment yanaweza kua na utani but sio ya kwenye post,una swali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…