Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu,
DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo mgumu mwaka huu sijaangalia mechi nyingi sana maana sikua nalipia subscription so nilikua naenda Bar naangalia mechi moja narudi kulala,
nikawa natafuta ufumbuzi nifanye Nini niweze kuangalia mechi online?jamaa yangu akanipa link ya Twitter,kila siku wanazifungia,katika kupita pita nikakutana na hii kitu kinaitwa MEDIA BOX,ukiwa na Smart tv,unachomeka kupitia HDMI,unaunganisha na internet tv yako ya Android,utaziona channels zote, movies, Mpira,Music, Documentaries,News,Mimi mpira huwa naangalia Kuna channel inaitwa fubotv,mechi zote ni 4K UHD,mind you, Internet Ina tumia data za kutosha kidogo.. ENJOY
View attachment 2950365
Hujatazama bure bali umelipa kifurushi cha internet cha MB au GB kadhaa ili uweze kustream...
Android box zipo miaka na miaka, pia kuna TV ambazo tayari OS yake ni android (TCL, Haier, Skyworth, Panasonic, Sony n.k) hivyo huna haja ya kununua hiyo external box, all you have to do ni kuinstall app yenye streaming links tu...likes of Kodi, Livestream player, Yacine n.k