Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

Football Live HD

Niliipata kwenye hii thread alishare Chief-Mkwawa

Ulaji data upoje?
 
Naona mnajitafutia kesi za uhujumu uchumi hivi hivi. TCRA wakikukamateni mtajua hamjui. Risk yote ya nini ya misukosuko ya kisheria kisa mechi za epl. Go legal or just beat it, It's not worth it.
Ivi nikiangalia mpira wa ulaya, Asia na America kwa kutumia device yoyote bila kutumia dish la dstv au decoda yao kosa langu linakuwa lipi
 
Ivi nikiangalia mpira wa ulaya, Asia na America kwa kutumia device yoyote bila kutumia dish la dstv au decoda yao kosa langu linakuwa lipi
huoni jamaa mmoja hapo juu kakataa kutoa mawasiliano ya jamaa yenu mmojawapo anayesupply hizo mitikasi. Anajua kabisa huo ni msala.
 
Buffering vipi?

Maana Azam Max hata kwa speed ya 30Mbps lakini 1080 lazima itaanza ujinga wa ku buffering.

Sasa huko kwenye 4K nataka kujua speed yako ya internet ina kasi gani
Tanzania ukitaka kufaidi mpira wa Internet uwe unaishi karibu kabisa na mnara wa simu. Kuna kipindi nilikuwa naishi mita chache tu kutoka kwenye mnara wa Airtel, nilikuwa naangalia mpira bila buffering hata kidogo. Forest Hill siyo lazima uwe na hiki kifaa (TV box). Unaweza kuangalia moja kwa moja kupitia kwenye computer (IPTV), kwa kuunganisha TV yako. Kuna website nyingi tu za IPTV.
 
KUNA JAMAA ALIJTANGAZA HUKU MIAKA YA NYUMA TUKAINGIZWA KING WENGI. NKALIPA 150000 KWELI NKAONA KAMA VYOTEE

BAADA YA MWEZI SIONI ZILE CHANNEL TENA PIGA APOKEI NKA MUSMS VIPI NA SHIDAA AKAJIBU INABIDI MTAFITE 50K AJE AREKEBISHE AISEE NILIKIMBIA SIKURUDI TENA
 
150+50#200/25 KILA MWEZI sinaga hamu
 
Ni bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000
Vinapatikana mkuu, kuna jamaa yuko kigoma, hata kulipia unamtumia jamaa pesa ndio analipa, nipo naangalia mechi ya arsenal nw
20240403_215717.jpg
 
Back
Top Bottom