Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

Vipi zile za aliexpress za mpaka $20 zina la maana au ni makopo tu
Hizi device ni cheap angalia specs zitazokufaa siwezi zungumzia sana Chinese flagship mana zipo Hadi za $6, na uziri wake haziko hyped kama itakavyokuwa siku zijazo mana c tunaogopa Bei ya bundle
 
Mahangaiko yote hayo ya nini? na kulipia juu! kwanini usidownload Yacine app for free ule maisha, gb1 unaangalia mechi yote na mb kidogo zinabaki.
 
Mahangaiko yote hayo ya nini? na kulipia juu! kwanini usidownload Yacine app for free ule maisha, gb1 unaangalia mechi yote na mb kidogo zinabaki.
Kutumia gb 1 kwa mechi moja bado ni gharama sana
Ina maana wiki ukiangalia mechi saba kwa mwezi inaweza kukugharimu zaidi ya elfu sitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…