Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Hii michezo ipo siku zote kwenye misiba ww Rudisha pesa
 
Kama pesa si chakavu, 300K zinakaa vizuri sana katika wallet, unless kama wallet yako ni zile za vijana wadogo.
Pole sana! Siku nyingine jifunze ukiwa una kibunda kama hiko unachukua kama 50k unaweka kwa wallet hizo nyingine unaweka mfuko wa mbele wa suruali ni salama zaidi hasa kama umevaa jeans.
 
Sasa unajiondoaje wakati na wewe ni miongoni mwa waliotoa mchango? Utatakiwa kulipa 300,000 siyo 250,000. Pole lakini

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana kwa kupata misiba miwili, Mungu akutie nguvu
 
Weka namba ya simu wasamaria wema watakuchangia. Ila nani wa kukuamini kirahisi?
 
Sadaka,fungu la kumi Kuna mahala umeyumba
 
Jamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?πŸ˜€

Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.

Pole na msiba, by the way, hela kwanza!

Everyday is Saturday.................................. 😎

Elf 10 30 zinashindwaje kukaa kwenye wallet?
 
Yan uende kujiaibisha kisa 250k...we ijazie tu maana mtu mzima unaenda sema umepoteza hela nan atakuelewa
 
Mchangie hata laki mbili basi mkuu
Hapo mzee baba kila mtu atakufikiria anavyojua yeye......ila waeleze tu watakuletea

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hapo mzee baba kila mtu atakufikiria anavyojua yeye......ila waeleze tu watakuletea

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ndio maisha yalivyo mkuu. Sitapiga kura mwaka huu 2020
Lisu kakosa kura moja tayari
 
Inategemeana na mahusiano yake au tabia yake aliyonayo,( baina yake na wanaomzunguka)

Mfano kwa historia au machapisho ya hapa jf, unaweza ukaenda kwa brother @mshanajr ukakuta amefuga paka weusi na kuna vibuyu vyenye nyuzi nyekundu , c unaishia kusema anaandaa zana za usiku?

Pile sana mkuu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…