Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.

Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=

Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Pole
Lakini Sio kila kitu Cha kuandika jamii
Forum
Muda uliotumia kuandika ungekaa chini kutafakari jinsi ya kuzirudisha
 
Tsfuta hata kwa kukopa ukatoe pesa za watu, Kama kweli umepoteza Mungu atakupa wepesi utapata nyingin in simple way.
 
Kama vipi njoo Goba uje uchimbe shimo dogo la chemba ya choo kuna nyumba ninajenga nataka kulitumia kuhifadhia maji nitakupa laki mbili na nusu. Kazi unaweza kuianza hata saa moja usiku mpaka saa kumi na mbili alfajiri nakulipa chako unaenda kusolve hilo soo
funzadume ushauri wako una maana kubwa na mafunzo juu. Dah
 
Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.

Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=

Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Utapeli huo bro Rudisha Pesa za watu
 
Back
Top Bottom