Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Hapo ndo shida mi kuna mmoja anataka 30k aweke deki ya singsang imebidi nicheke tu hivi nani anatumia deki kama si kuniuzia kwa 30k
Mkuu huyo mpango wake ni kukuuzia tu, kwa sababu bei ya deki mpya ni 55k sasa utofauti hapo ni nin?? Shtuka mzee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimestuka mzee mwenzangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walete tuwakopeshe kwa riba ya 10 percent
Ntawauliza ila huwa nawaonea huruma mno maana wanapelekeshwa vibaya mno na riba sio rafiki kwao mpka natamani kuwakopesha, ila nao wajeurii mpka amsha amsha
 
kama uaminifu upo mbona ten percent ni riba nzuri tuu kwa wiki. wewe watafute tufanye business mzeya huku tukiwakomboa wamama wapambanaji
 
Utakuwa mgeni wa ibilisi [emoji851]ahera
 
Hongera! Ni biashara nzuri,ila naona riba yako ni kubwa mno ndg,punguza riba upate wateja wengi zaidi
 
Hapana mkuu sitapunguza riba, labda unipe mbinu zaidi nisitapeliwe hela zangu.

mpaka hapa nimezidiwa wateja. Wateja ni wengi sana mtaji mdogo (hela imekua mpaka laki 8)

Nashukuru Mungu naweza ingiza faida (riba) kwa wiki Tsh 100,000 mpaka 120,000
 
Njoo nikuongezee mtaji
 
Huwa unachukua vitu Kama nni?
Mnaandikishiana?
Unafanya vipi kukwepa mambo ya TRA

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alileta na risiti, au ikoje, asije akasema umemuibia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…