Habari za asubuhi JF people?
Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.
Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya:
- Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.
- Mkopo utakaa siku 14.
Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000
Je, nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?
Je, nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?
Note: Mteja wangu ni mama ntilie