Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Hiyo riba Ni kubwa Sana!huo Ni unyonyaji,Ina maana elf10 riba akupe elfu7?sio kweli!utawapata wa kuwanyonya Ila Kuna mteja atakupiga tukio Siku yako usilaumu ujue ndio itakuwa unalipia haki za mama ntilie ulizokula
 
Duh!!!
yamekuwa hayo tena? mbona husemi jinsi wanavyonufaika na hela zangu wanazokopa?

mtu akope laki 1, akaununue samaki auze raundi 2 kwa wiki anapata faida elfu 50 nzima mpaka elfu 70.

akinipa 20 anapata hasara sana?

na mbona nikiwajibu sina hela wanalalamika sana na wanasema nawarudisha nyuma😅😅😅😂😂😂

DUA YAKO MKUU HAITOFANYA KAZI.
 
Mkuu naomba unifundishe na mimi nina laki ya kuanzia
 
Basi sawa!Ni biashara nzuri Sana hongera kwa kusaidia wenye uhitaji wewe Ni mkombozi wa watu....
 
Hiyo riba Ni kubwa Sana!huo Ni unyonyaji,Ina maana elf10 riba akupe elfu7?sio kweli!utawapata wa kuwanyonya Ila Kuna mteja atakupiga tukio Siku yako usilaumu ujue ndio itakuwa unalipia haki za mama ntilie ulizokula
Duh huyu jamaa noma 70% interest.
 
Hataki Ushauri mwenzio.anataka kusikia wa kusifiwa tu
 
Duh huyu jamaa noma 70% interest.
Yaani Ni kubwa mno jamani, anyways naona mwenyewe kawa mkali,Ila haya Mambo haya atazilipa tu indirect Siku moja....Akopeshe kwa riba rafiki lakini hiyo Ni kiboko
 
Wakuu mimi kuna mtu amenikopesha 1m namlipa 70k kila mwisho wa mwezi, Hiyo riba ni kubwa au ndogo? Isije ikawa napigwa[emoji85][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…