Pumbavu hao!!! wanataka mshahara wakwanza utosheleze gari kali, nyumba kali na pisi kali!Nina rafiki zangu wawili tena wamesoma Cuba na hata vijiwe hawana!niku PM uwasaidie??
Yes mkuu. Nahii mifive again sijui kiukweli....sioni walau dalili.
mkitangaza na lab scientist usinisahau mkuu maana hali c Hali mwaka wa pili huu unaelekea machweo bila bila.Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)
Hatari sana.. hahahahaaaa.. umeita familia nzima ya mzee Kotomboloo
sasa kama n hivyo,je hawa ndugu zetu(clinical officer) ambao vyuo vyao kwasasa vimekuwa kama utitili watafanya nn au watakuwa watu wa usafiMD wapo kibao mtaani , kuna wengine wanaamua kuomba kujitolea lakini pia nafasi zinakuwa hazipo(Volunteer)
Huwezi ukajiajiri wakati huna pesa ya kianzio, Hapa najitahidi nifanye sekta binafsi ili nipate mkataba wa kudumuNot kuajiri ni kujiajiri....
Wagonjwa wote Hawa???
Miaka mitano walisomea nn?
Unajua elimu ya doctor?
Waliitajika MD zaidimkitangaza na lab scientist usinisahau mkuu maana hali c Hali mwaka wa pili huu unaelekea machweo bila bila.
Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)
Maslahi yenu mabovu...! Hakuna Dr anaweza acha kazi kwenyw NGO aise...Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)
Mkuu,Nimesomea udaktari mwaka wa pili sasa sina kazi
Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...Mkuu,
Ukiambiwa Pesa anayolipwa 'Nesi' sio 'Dakitari' kwa Saa moja Marekani au Ireland,
Wewe unaweza kwenda kwa jogging pande hizo kila Bahari ikienda kutembea unasogea.
Sema ndio hivyo tena mmeipenda wenyewe Tz.
Si ajabu pia mkiambiwa ajira hiyo inalipa N'gambo mnawaponda washauri.
Mitano tena kisha, Sirbah.
Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hatarii sana mzee...Hahah mzee atakuonea wivu ukirudi hapa bongo utaanza kusema YOU KNOWOH!! YOUH KNOWOH!! [emoji23][emoji23]
Ukijua ya huku wenzako wanajua ya kule.Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Maslahi yenu mabovu...! Hakuna Dr anaweza acha kazi kwenyw NGO aise...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app2
2.5m mpaka 4.5m ni maslahi mabovu .Basi bwana nenda kafanye kwenye vioskiMaslahi yenu mabovu...! Hakuna Dr anaweza acha kazi kwenyw NGO aise...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una utani wewe...!! Nitafutie Dr mmoja alieacha kazi huko na walikuwa wanalipwa hivyo nikupe Mil 1 hapa... acha masihara kijanaa..2.5m mpaka 4.5m ni maslahi mabovu .Basi bwana nenda kafanye kwenye vioski