Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

Muongo sana huyo dada.
Yani anadhani anaongea na Darasa la saba sijui.. madoctor wamejaa mtaani wanazurura hata kujitolea walipwe chochote nafasi wamekosaa. Serikali ingekuwa haitumii Intern Doctors bhasi ajira zingekuwepo ila uwepo wa intern unawapa sana kiburi sio kwa kada ya Udaktari ni kada zote yanii..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
"Kazi" na "ajira" ni dhana mbili tofauti ingawa zinahusiana.

Unaweza kuwa na kazi usiwe na ajira. Unaweza pia kuwa na ajira lakini usiwe na "kazi".
 
wapo kwenye vidinspesary vidogo mtaani wanakunywa sana pombe za bei rais hawaamini kinachotokea ukisikia mtu anasomea udokta unamuheshim kumbe tabu
 
Hao wote ni Clinical Officers sio Doctors
Mkuu huku kijijin Sojo Nzega hatulijui hilo kwenye vi zahanat vyetu tunawaita madokta hata kana wana level certificate tu.Natunawanyenyekea mnoo
 
Mwambie mwanao asomee udoctor alafu ndo utajua hujui..
 
Wapo wengi tu, umeahau jiwe aliwambia wale waliopo huko nchi za watu Warud wawape kazi Alaf wakawatelekeza?
 
Nimesomea udaktari mwaka wa pili sasa sina kazi

Unajua kinachowafanya baadhi ya watu wasiamini ni umuhimu wa hawa watu Na desturi ilivyokuwa. Lakin mbele ya jiwe? Hakuna sehem aliona ya muhimu kabisa. Doctar kukosa kazi ni aibu sana kama taifa.
 
Wapo wengi tena wengine wanajitolea
 
Nurses na Doctors degree level wapo wengi tu mtaani hawana ajira now days hakuna ajira za mojakwamoja serikalin kama zaman japo bado kunauhitaji mkubwa sana wa hao watu sema tu kipaumbele cha serikali sio kuajir Muhimbili hosp yenyewe inazalisha Doctors na Nurses lakin wanashortage kubwa mpaka wapate kibali cha kuajir
 
Mzee alikuwa busy kukifanya kijiji kiwe jiji. Zamani hizo post yako hii ungeanza kufuatiliwa kuwa wewe si mzalendo.
Acha tu yaani,, ndo maana mbeya walichoma mbuzi wakaenda kulia barabarani na wakishushia komoni.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naikumbuka hii. Walikuwa wengi sana. Nafikiri usahili ulifanyika somewhere Pwani. 2018 ilikuwa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
ULIKUWA MRADI GANI? NA MLIKUWA MNALUOA SH NGAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…