Wewe lipa anayosema dereva simu yako ni mbovuIyo sio shida yangu nauli kwann ije bill tofauti apo ndy kuna shida
Nikweli lakini sasa iyo kabla ya safari anasema tayali kwake imekuja bei tofauti na kwangu aseeKuna vitu vinaweza ku raise Estimated fare kama Waiting time au Ukute dereva ana Prolong Route au hapiti route ambayo bolt wali designate basi fare lazima ipande
Unajua Bolt au Uber za Airport airport zinakuwa na Changes Fulani na sio Kila driver anaweza ku access request za Bolt airport ni kama Kuna designated drivers ndio wako allowable kupokea izo request za Airport na nahisi watakuwa subjected na Charges Fulani extra ndo mana kuna hio variation, Ukiona huelewi basi Andika Email bolt kueleza hio misunderstanding yako Ili upate majibu mazuriNikweli lakini sasa iyo kabla ya safari anasema tayali kwake imekuja bei tofauti na kwangu asee
Ni kweli maeneo kama Airport huwa na designated drivers na mara nyingine kuna airport surcharge pamoja na surge pricing. Changamoto kubwa naiona kwenye transparency—app haionyeshi breakdown mapema ili mteja ajue ada za ziada kabla ya kudhibitisha safari. Shida ndiyo ina anzia apoUnajua Bolt au Uber za Airport airport zinakuwa na Changes Fulani na sio Kila driver anaweza ku access request za Bolt airport ni kama Kuna designated drivers ndio wako allowable kupokea izo request za Airport na nahisi watakuwa subjected na Charges Fulani extra ndo mana kuna hio variation, Ukiona huelewi basi Andika Email bolt kueleza hio misunderstanding yako Ili upate majibu mazuri
Kama safari umefika mwisho, app huwa inakuletea bei ya hiyo safari. Hiyo ndio nauli unayotakiwa kulipa. Huyo dereva anakuchezea mchezo hapo, si ajabu ni screenshot ya safari nyingine anataka kukupiga.Wakuu iyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayo ona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 ivi changamoto iyo mnaichukuliaje apa nipo njiani lakini bado namuulza dereva na yeye hana jibu kabisa yani wakuu je iyo hali ikiwakuta mna solve vipi au ndy mnalipa ile bill inayo soma ya dereva
Yenye utata kivipi? Wewe kwenye simu yako si nimeleta bei baada ya safari kuisha? Hiyo ndio bei unayotakiwa kulipa. Hapa naongelea bei BAAADA ya safari, sio ile ya mwanzo wakati una request. Sometimes bei bei hubadilika kutokana na foleni etc.Bei imekuja ileile yenye utata
Bei ya kwanza ni estimation. Along the way kunaweza kutokea jam kubwa bei ikabadilika. Bei ya mwisho ukifika ndio halisi.Bei imekuja ileile yenye utata
Mtaalam waandikie Bolt hii issue kwa email zao wako very active wata respond Ili hio matter wai take into account wafanyapo Updates zijazoNi kweli maeneo kama Airport huwa na designated drivers na mara nyingine kuna airport surcharge pamoja na surge pricing. Changamoto kubwa naiona kwenye transparency—app haionyeshi breakdown mapema ili mteja ajue ada za ziada kabla ya kudhibitisha safari. Shida ndiyo ina anzia apo