Ww unafucha vitu hapa na ndio tabia ya mtanzania mlalamishi hyo 15 ni destination au mwanzo hyo ni wakt unafika as goes on mlikutana na jam so haiwez kuwa at same starting pointIyo sio shida yangu nauli kwann ije bill tofauti apo ndy kuna shida
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Lipa hiyo nauli kama ungeona karibu ungetembea kwa miguu
Mlipe kwa mujibu wa bei kwenye simu yakoWakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo njiani lakini bado namuuliza dereva na yeye hana jibu kabisa yaani wakuu je hiyo hali ikiwakuta mnasolve vipi au ndiyo mnalipa ile bill inayosoma ya dereva.
Wanasemaga et ukiwa na offer bei inapungua kwako ila kwake inaonekana ileile bei halisi. naskiaga tuIyo sio shida yangu nauli kwann ije bill tofauti apo ndy kuna shida
Kama ulimchelewesha jua kuna addition ya waiting time hapo pia akibadili ruti itaongezeka. Mfano kwangu jana ilisoma 17,500 ila baada ya kuchelewa kidogo ikaongezeka ikawa 19,500Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo njiani lakini bado namuuliza dereva na yeye hana jibu kabisa yaani wakuu je hiyo hali ikiwakuta mnasolve vipi au ndiyo mnalipa ile bill inayosoma ya dereva.
Ndo ivyoYeah usafiri binafsi muhimu sana