permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ile bill sio fixed, ina makadirio ya muda. Kwa mfano kukiwa na foleni barabarani bill kuongezeka, eneo la buku 10 insweza fika hata 20, kikubwa ni muda unaotumika.Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo njiani lakini bado namuuliza dereva na yeye hana jibu kabisa yaani wakuu je hiyo hali ikiwakuta mnasolve vipi au ndiyo mnalipa ile bill inayosoma ya dereva.