KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu hapo ni akiri tuuu, wee mwambie akupeleke mpaka kwenye nauli ya 11500.
 
Iyo sio shida yangu nauli kwann ije bill tofauti apo ndy kuna shida
Ww unafucha vitu hapa na ndio tabia ya mtanzania mlalamishi hyo 15 ni destination au mwanzo hyo ni wakt unafika as goes on mlikutana na jam so haiwez kuwa at same starting point
 
Mwenzio hiyo app analipia....msaidie hiyo afu 3 tu tatizo la bolt wenyewe
 
Mlipe kwa mujibu wa bei kwenye simu yako
 
Bei ya kwanza ni estimation. Along the way kunaweza kutokea jam kubwa bei ikabadilika. Bei ya mwisho ukifika ndio halisi.
Asubuhi ile akuna foleni wala nini ni shwaaah ila bolt kimtambo chao wa kiseti vizuri kieleweke tu
 
Kama ulimchelewesha jua kuna addition ya waiting time hapo pia akibadili ruti itaongezeka. Mfano kwangu jana ilisoma 17,500 ila baada ya kuchelewa kidogo ikaongezeka ikawa 19,500
 

Attachments

  • Screenshot_20250828_210618_Bolt.jpg
    138.3 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…