permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ile bill sio fixed, ina makadirio ya muda. Kwa mfano kukiwa na foleni barabarani bill kuongezeka, eneo la buku 10 insweza fika hata 20, kikubwa ni muda unaotumika.Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo njiani lakini bado namuuliza dereva na yeye hana jibu kabisa yaani wakuu je hiyo hali ikiwakuta mnasolve vipi au ndiyo mnalipa ile bill inayosoma ya dereva.
Iyo sio shida iko kwenye start destination kwake na kwangu tofauti ndyo changamoto iyoIle bill sio fixed, ina makadirio ya muda. Kwa mfano kukiwa na foleni barabarani bill kuongezeka, eneo la buku 10 insweza fika hata 20, kikubwa ni muda unaotumika.
Ndiyo dawa yao kuna siku nilienda sinza na faras jamaa nae ndyo ivyo misele mingi sasa kwenye kulipa akasema hana chenji nikaenda kwa wakala nikamtumie kwa simu sitaki upuuzi kabisa yaniNalipia inayo kuja kwangu full stop ,afu wengi wana tabia ya kubadili njia ana kupitisha ya mbali ili nauli iongezeke kwenye app dadeki
awa huwa nageuka trafik namuonyeshqopa kupitahadi naul inq pungua zaidi ubaya ubwela 🤣🤣
Kuna muda inakubidi kaka 30km sio ndefu kama kuna ishu ya muhimuUna hatari umbali wote unachukua boda mkuu