#COVID19 Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

#COVID19 Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

Waliochanjwa jana ni ma pro CCM.
1627586402257.jpeg

Pro CCM mbona wapo wengi mkuu!
 
Maisha ya mwanadamu ni mahangaiko, ikikukosa covid 19, unapigwa na H.I.V, ukikoswa unavamiwa na majambazi, unagongwa na gari au boda boda, unapigwa risasi bar, unachomwa na moto ndani ya nyumba,yaani tafrani
Ukijifungia ndani ili uwe salama...Mara paaap neema Huyu hapa na petroli yake
 
Maisha ya mwanadamu ni mahangaiko, ikikukosa covid 19, unapigwa na H.I.V, ukikoswa unavamiwa na majambazi, unagongwa na gari au boda boda, unapigwa risasi bar, unachomwa na moto ndani ya nyumba,yaani tafrani
Kwa ile hatari unayoiona chukua tahadhari.
Huta sex bila condom.
Gari bovu utapanda kwa tahadhar iwe boda au daladala.
Majambazi ni cimmybity awareness, wekeni ulinzi shirikishi.
Tisai utazipata wapi kama unachagua company makini.

In short how you live is how you will die.
Live rough, die rough.
Take care of your life, there is just a chance you mightlive longer.
 
Sisi pia kwenye kampuni moja ya kitalii nimechanja ni mwezi wa pili sasa huu na niko fresh kabisa.

Tena nimechanja Astra zeneca (uk) ambayo wengi wanasema inawalakini.

Watanzania tuchanje asee.
Asante mkuu, nawe ukiwa n updates , wengine watapona kwa uzoefu unaoupata.
 
Maisha ya mwanadamu ni mahangaiko, ikikukosa covid 19, unapigwa na H.I.V, ukikoswa unavamiwa na majambazi, unagongwa na gari au boda boda, unapigwa risasi bar, unachomwa na moto ndani ya nyumba,yaani tafrani

IMG_20210730_120308.jpg
 
Back
Top Bottom