#COVID19 Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona.

Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda.

Mpaka sasa na leo niko salama na nita update mara moja au mbili kwa wiki kadri siku zinavyokwenda.

Mwenye swali tafadhali.

DAY 3: MYTH QUASHED
Nimeweka shilingi nilipochoma sindano, Shillingi haigandi, inaanguka.

Yaani wewe ni hamnazo kabisa.

Unaweka shilingi kabisa ??

Yaani haya majinga yamekuchota kabisaaa ukapoteza muda wako kujaribisha
Khee
 
Sisi pia kwenye kampuni moja ya kitalii nimechanja ni mwezi wa pili sasa huu na niko fresh kabisa.

Tena nimechanja Astra zeneca (uk) ambayo wengi wanasema inawalakini.

Watanzania tuchanje asee.
Ila unaendelea kuvaa barakoa unaogopa kuambukizwa
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona.

Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda.

Mpaka sasa na leo niko salama na nita update mara moja au mbili kwa wiki kadri siku zinavyokwenda.

Mwenye swali tafadhali.

DAY 3: MYTH QUASHED
Nimeweka shilingi nilipochoma sindano, Shillingi haigandi, inaanguka.
Ma top director wetu wote wamechoma tayari....

Hofu yangu tusije anza kulazimishanaa.....kinacho ni shangaza still wanavaa barakoa...Wana maintain social distancing

Sisi wenginee still tunasimama na Hayati JPM, Na Gwajima na wenginee wote ambao wapo against covid-19 vaccines
 
Sisi pia kwenye kampuni moja ya kitalii nimechanja ni mwezi wa pili sasa huu na niko fresh kabisa.

Tena nimechanja Astra zeneca (uk) ambayo wengi wanasema inawalakini.

Watanzania tuchanje asee.
Mimi sijaelewa, ina maana hapo sasa ukimchukua mdudu wa Corona ukamtafuna na kummeza kabisa hutopata huo ugonjwa?
 
Tuchukue tahadhari Corona ina puputisha sana!
wenye maradhi haya
1. UKIMWI
2.KISUKARI
3. SARATANI
4.PRESHA
5. TB
tuchukue tahadhari tunao sumbuliwa na maradhi hayo.
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
Hayo magonjwa ndio humaliza watu siku zote sema tofauti sasa hivi corona ndio inatajwa sana kama ndio chanzo cha vifo kwa hao wagonjwa maana hakufanyiki sana uchunguzi kujua chanzo cha kifo.
 
Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona.

Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda.

Mpaka sasa na leo niko salama na nita update mara moja au mbili kwa wiki kadri siku zinavyokwenda.

Mwenye swali tafadhali.

DAY 3: MYTH QUASHED
Nimeweka shilingi nilipochoma sindano, Shillingi haigandi, inaanguka.
Ukiwa fresh baada ya miaka 15 na sisi ndio tutachoma, kwa sasa ukae kwa kutulia kwanza
 
Hayo magonjwa ndio humaliza watu siku zote sema tofauti sasa hivi corona ndio inatajwa sana kama ndio chanzo cha vifo kwa hao wagonjwa.
yaani ukiwa unasumbuliwa na Kisukari au presha au ukimwi au tb corona inamalizia kazi kwa urahisi sana!
ndio maana ktk wimbi hili wagonjwa wa kisukari, presha ya kupanda, ulimwi na tb wana kufa zaidi kuliko kipindi kingine kile.
 
DAY 14: Wakuu bado nipo nipo tu, sija dedi!
Johnson and Johnson inafanya kazi yake
 
Back
Top Bottom