Watanzania huwa wala hatujielewi katika masuala ya kisayansi na research.
Na mara nyingi watu wajinga wajinga huwa hawajui kuwa hawajui, kama mtoa hii post.
Fuatilia mada hii, unajibu leo wakati hii mada is 14days old!
NOW WHO IS STUPID!
Observation of a specimen is also a scientific approach at research.
Louis Pasteur’s , mwaka 1885, alivumbua chanjo ya mingi na nyingine kujichanja mwenyewe na kujifanyia daily observations na kutengeneza log ya observations.
Mi nimeiweka observation yangu wazi ili wale wenye akili ndogo, kama uliyetoa hii post ninayokujibu, uweze kufaidika.
[/