Barabara ya Magunga Hospital kwanini isiwe ya Halmashauri?!Hiyo ni barabara ya halmashauri
Bro kwenye uchawa unakuja kwa kasi ya mwanga😅😅😅😅Labla aliyeandika hilo bango sio mwanakijiji hapo 😂
Halmashauri ndo nchi Gani wewe Chawa?Hiyo ni barabara ya halmashauri
#kichwa maji,Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Hii ni barabara inaenda kwenye hospitali ya wilaya ...#kichwa maji,
CCM, Inafuata ilani, ilani ilitamka kufika malengo gani, yapi na yapi?, kipi na kipi?, kwa miaka 4,mnayokuwa mmejipangia, mfano ilani inaweza kutamka, shule 5,hospital 5,huduma za ugani ziwepo kwa 100%, tusiwe na vifo vya wajawazito,wanapoitimiliza basi hawanabudi kufurahia, maana ulichopanga kimefanikiwa.
Akili ya CCM siku zote ni hizi, wanaona fahari kuteseka na kuishi maisha duni. Kwa kweli CCM ni adui wa haki kwa Watanzania.Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Yapo ya uzembe mkuu kwa jinsi ulivyotamka!... (wa wachache) let say umeboresha huduma halafu njia ya kufikia huduma husika mbovu.Hii ni barabara inaenda kwenye hospitali ya wilaya ...
Sijui unaleta ilani gani hapa mwana CCM..
Hii nchi imekuwa brainwashed to the point imefikia hali mbaya mnoUkweli nchi imepigwa kichwani na kitu kizito chenye ncha kali
Kwa hiyo mambo mabaya Halmashauri hayamuhusu Samia? Ila mikopo ya 10% inamhusu? Hizi akili za wapi hiziAu usikute ni yeye 😂😂
Level of brainwashing imefanyika nchi hii, need to be studied, na itenengenezewe thesis kabisa. Kuna ujinga, halaf kuja ujinga and beyondKatika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Chawa kazini, anajaribu kumpaka nguruwe lipstick awe mrembo kama pisiYapo ya uzembe mkuu kwa jinsi ulivyotamka!... (wa wachache) let say umeboresha huduma halafu njia ya kufikia huduma husika mbovu.
😅😅Nitajie kazi moja tu ya mbunge wewe juha
Wewe ndio umekurupuka, ni mji siyo maji, soma vizuriUnajua ni maji gani?sio mnakurupuka tu
Yaani tz wajinga hawapungui😅Kwa hiyo mambo mabaya Halmashauri hayamuhusu Samia? Ila mikopo ya 10% inamhusu? Hizi akili za wapi hizi
Nchi, ni dubwana kubwa, lenye kuhitaji maendeleo katika kila kona, kila chochoro, Nchi hujengwa hatua kwa hatua, (wao chadema huwaaminisha machizi wao kuwa kila kitu kitakuwa safi mara moja, nazo nyumbu huamini hivyo!, kwa kuwa vichwani hakuna medulla)Chawa kazini, anajaribu kumpaka nguruwe lipstick awe mrembo kama pisi