Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Kamba, korogwe imekua mji hivi karibuni tu, na ni mji mpya ambao umekua karibuni, hauna historia yoyote ile compare to sehemu kama Tanga Mjini, Pangani etc.Korogwe mji ulikuwepo kabla ya majiji ya Arusha na Mwanza ila umebaki vile vile slivyo liacha Mjerumani
CCM hoyee mitano tena.
Halmashauri ya serikali ya Rutto ?Hiyo ni barabara ya halmashauri
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ukweli nchi imepigwa kichwani na kitu kizito chenye ncha kali
Yaani hatujitambui bado
Kuna msimu uunasikia vigoma milimani huko usiku sijui ni sherehe gani zileHapo korogwe jau kweli yaani, hapo ndo kwao na marehem Kijazi, ndo kwa Merry Chatanda, kwa Mufti Zuberi na wengine wengi maarufu ila hata project ya maji tu wameshindwa. Maji yanaweza kata hadi wiki tatu
Ndo wilaya iliyo bahatika kupata viongozi wachapa kazi mfano Robert Gabriel, Mrisho Gambo, Joketi.
Angalau Joketi kipindi chake kapambana wamepata taa za barabarani lakini korogwe Kiujumla pamejaa ufujaji tu.
Level ya uchawa na unafiki miongoni mwa viongozi wa Serikali ya sasa umefikia kiwango cha juu sanaKatika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
ππππππKatika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Jirani yako Mhuni anaweza akakuchomea nyumba halafu akakupa hifadhi na akawa anatembea na mke wako ukiwa kwenye hifadhi kwake .Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Tafsiri kuu wanayo wenyewe, wewe Yako itakuwa ya kichadema-chadema tu.Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
200% true.Watu wamechanganyikiwa wanapewa rushwa za elfu 20 au 10, wanaongoza huo ujinga ni DCs