Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Wewe huwezi kuolewa
 
Ningekua Mungu ningemjibu kwa maandiko, Ulimwenguni mnayo dhiki lakini jipeni Moyo
Sarai mkewe Ibrahimu alipata mtoto akiwa bibi kizee πŸ˜‚
Kwahiyo na yeye asubiri akiwa mzee
Wakati watu miaka 60 wanakata moto?
 
 
Bro pole
Naona ulikataliwa ulipopenda
nakataliwaje kwamfano my Lady?

handsome akili kubwa, kiongozi na mtumishi wa wananchi anakataliwa kweli?

ni katika kuokoa jahazi tu, ama my Lady umefurahia hali hiyo ya huzuni na mfadhaiko ya hao ma ladies kulilia na kutamani magentleman wa kuwatuliza, na kwahivyo huhitaji mapendekezo yoyote ya wadau kushirikiana nawe mtoa hoja walau kuwasitiri na kuwaonyesha njia, right?πŸ’
 
Kipindi bado pisi kali alikuwa anachagua wanaume kama maembe sokoni,leo hii kachoka mix kuzeeka anamsumbua MUNGU
 
usichana wake alichezea na nan et?
 
Sasa kama alikuwa anaringa kipindi wanaume wanamfuata Mungu hata hasikilizi maombi ya watu kama hao.
Mwambie hivi kuna dogo anaitwa Poor Brain anapenda sana loose balls.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah alafu manyanza mi ntakutafuta wewe.. tukukamate tukupige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…