Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

🀣🀣🀣
Mapenzi yanawatesa sana akiwemo huyu mleta uzi
 
Ningempa pole na kusisitiza asipuuze chance zinazokuja
Upweke ni mbaya sana
Chance ni nyingi sana ila ni jobless....sasa kulea umaskini wangu na wa mwingine ni kibarua kigumu sana.Ni kheri upweke usio na stress
 
……nut
 
Upweke sio shida
Shida kuitwa MSHANGAZI
WOI
Basi hakuna tatizo hapo, at some point kila mtu ataitwa bibi,babu,mzee e.t.c Issue ni kuwa wakati hayo yanafika uwe na furaha na amani, na fedha za kujimudu basi.

Mshangazi ni jambo zuri tu kwa wanawake, inaonyesha kuwa madogo wanaona maturity kwao.
 
 
i mean wakiwa mabinti wanauliza namba yangu umepata wapi wakizeeka wanaomba kutafutiwa mume yani mambo ni mengi
Wanaomba kutafutiwa mume sababu mnawazonga tonga mabinti wa watu na maswali ya utaolewa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…