Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Basi hakuna tatizo hapo, at some point kila mtu ataitwa bibi,babu,mzee e.t.c Issue ni kuwa wakati hayo yanafika uwe na furaha na amani, na fedha za kujimudu basi.

Mshangazi ni jambo zuri tu kwa wanawake, inaonyesha kuwa madogo wanaona maturity kwao.
 
Alafu hii post yako unawasingizia wengine nina taarifa za kiinterejensia
Sasa post zooote za jamii forum zitakuwa zinanihusu basi kama kila post inanihusu

Tumia na akili ya kuzaliwa kidogo bro
Haya ni maisha halisi ya watu

Sema tu hawakuambii wewe una kichwa maji
 
Hapo ndo Upo serious au?
 
Kesho nisindikize kwenye hiyo ofisi tafadhali
 
Kama majanga mengine yaliyowahi kuikumba nchi hii kama surua, ndui, kipindupindu na corona... Mashangazi ni janga jingine liloikumba nchi hii kwa lugha ya majanga wanaitwa Single Mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…