Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

kuna jamaa aligoma kupigwa exile ikabidi alale kitanda cha juu huku jamaa anagegeda kitanda cha chini
 
Kuna watu huwa wa hovyo kabisa. Exile ya seasonal huwa haiumi. Ila kuna wengine wanaoa kabisaa wakati wanajua wanakaa gheto(shared room). Unatoka class au library kitabu kimebana unasema ngoja ukapate tano bora room, unakuta jamaa kajaa tele na demu wake. Halafu hata hawajiongezi kuwa mshikaji anahitaji privace demu anaendelea kuwepo tuu. Hamna jinsi unanuna tuu na kurudi library. With stress hakuna kinachopanda kichwani. Wenye tabia hizo acheni bwana sio uzungu wala nini!!
 
Nashukuru rum kwangu pale hall 2 kulikuwa hamna mwenye demu mwaka mzima....nkitoka kusoma nlikuwa najimwaaaaga kwa kitanda bila stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wa siku izi hawana adabu. Mnachukua boom na kutumia kuimport nyamafu hostel? Enzi zetu tukiwa pale udsm mabibo hostel hakuna kuingiza mwansume room. Yaani turikuwa strict haswaaaa
 
Moja kati ya ungese niliowahi kukataa ni kupigwa exile...!nishamgegeda demu wa mshakaj kwa ungese wake wa kumletaleta room demu wake
 
Daaa...mdogo wangu nina 45 ila umenikimbusha mbali sn na hilo neno Exile. Umenikumbusha Mabibo hostel enzi hizo
 
Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is enough

Sijui lini na mimi nitamfanyia exile aaaargh nimechukia sana
Hahahaha acha upigwee tuu. .ata mimi ningekupiga
 
Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is enough

Sijui lini na mimi nitamfanyia exile aaaargh nimechukia sana

hivi we ni mwanaume au mvulana ,
 
Back
Top Bottom