Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

mtafute kaka Mshana jr or Mzizi mkavu(huyu sijamsikia muda mrefu) humu jukwaani watakusaidia,pole sana
 
Hakuna mwanamke anaeweza kukaa nae anawadhalilisha wanawake kwa matusi ya nguoni wanamkimbia.. watoto anao 3

Kazi anayofanya ni ukandarasi anaendesha yale magari ya kujenga barabara
Muambieni mwajiri wake amuhamishe mkoa wa mbali na nyie.
 
"wewe ......jina lake.......,funga Domo lako,ACHA ukorofi wako,uwe mpole Kwa sana na mtulivu,ufanye kazi acha kukaa nyumbani!!!mamlaka ya neno mathayo 7:7 nakufunga kwa jina la yesu"

Andika maneno hayo kwenye karatasi ya rim nyeupe kipande TU,ikunje iwe ndogo weka kwenye chupa ya soda plastic,tia chumvi ya mawe humo Ile ya kupima weka na maji tikisa Hadi ichanganyike fungal na mfuniko weka sehem isiyofikiwa na yeyote!!!

Subiri matokeo!
 
Nina uncle wangu nae alikua hivyohivyo ila yeye ilikua ni pombe, akinywa haelewani na mtu. Asipokunywa pia ni mtata kwelikweli ila kuna watu alikua anawaheshimu na kuna watu alikua na bifu nao kwasababu zake binafsi.

Historia inachangia mengi, kama hujashare nae baba basi maza ako anajuaa fika kwanini kijana wake yuko hivyo ila ndio hivyo hawasemagi ilhali kusema ndio huleta ahueni na kujua mdeal vipi na hiyo ishu.
 
Mi nauza mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,.... karibuni muniungishe wakuu 🙏🙏
wewe moja,...
kaka yenu moja,....
bi mkubwa moja,.....
wapangaji nao mojamoja...
karibu sana,......
 
Pole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa...

Huyo haiitaji mwana saikolojia wala sobber house kwa sabab chanzo Cha tatizo kiko ndani ya familia na mama anajua vzur ...
Baada ya kijana kufanikiwa ndugu walipambana kumuaribu akili ili asimsaidie mzaza wake Bali awepoawepo tu kama hivyo na mwisho wa siku wamuue kabisa..

Ongea na mama anawajua vizuri ndugu zake au ndugu wa upande wa baba ...poleni Sana..

Wivu wa ndugu ndio chanzo hakuna kijana msomi wa kariba yake awe na tabia hzo kwa hiari yake mwenyewe..

Anatamani sana kuacha lakini hawez kwa sababu anavifungo vya kiroho alivyofungwa na ndugu zake...

Njia ni mbili hapo either mtatue kwa Imani ya maombi kanisani au kwa maustadh wamsomeee visomo ili afunguke OR...
Mwende kwa mganga amsaidie...

Uchawi upo ndugu zangu
 
Huyo wala tatizo lake si mwezi mchanga, tatizo lake lilianzia kwenye malezi,vile mama yake alivyomlea,wamama wanamchango mkubwa sana katika kumshapu mtoto kitabia watakavyo wao, shirikisha ndugu na jamaa zenu,mtieni ndani kwanza apate adabu,atawaueni huyo,msimuendekeze!!!,mnaweza waonga hata watu wa jera wamshkishe adabu kwa mda fulani,atanyooka tu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…