Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
Hiyo ni schizophrenia nyie endeleeni kumlea siku watoe vichwa ndo mtapata akili. Kama mmeweza kumkamata kwenda polisi kwanini njia hiyo hiyo isitumike aende akafungiwe hospitali?

Akienda hospitali atakaa sawa na akili itarudi mtafurahi. So uchaguzi ni wenu.
 
Huyo ni Blacksheep aka Chamdeko Kuna Uzi ulipandishwa humu namna ya kudeal na Wapuuzi kama Hao, Huyo anafanya Huo Ujinga Kwasbabu anajua Kuna Watu watamsikiliza au Watumuone Huruma, Mbona mtaani tuna Vichaa kibao tu na hawatembei na Mapanga, Chukueni Bold Decision ndio mtabadilisha Kuendelea kumuona huruma Ndio mtampoteza zaidi mana Kuna siku atajichanganya Watu wamalizane nae au Wamjeruhi Msala atauleta Nyumbani mtahangaika Kumtibu

Huyo Pelekeni Polisi kwa kumshtaki au Hospital za Vichaa akae uko for atlest one year akitoka trust me atakuwa amebadilika sana tena akiwa Huko msiende hata Kumsalimia
 
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku

Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe

Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika

Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha

Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu

Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62

Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja

Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Mgonjwa huyo wa akili mpelekeni akapate tiba sahihi
 
Damu ni nzito kuliko maji amueni kilicho bora, maana huyo ameshaathirika kisaikolojia , na siyo rahisi kumrejesha katika hali yake , ushauri wangu ingieni kwenye maombi ,pia mchukulieni hatua kali zakupeleka akafungwe huko.

huwenda atajifunza na akirudi mfukuzeni hapo nyumbani asikae na asiruhusiwe ili Dunia imfunze .

Nina ndugu yangu ambaye kitabia tulimhangaikia kila akifanya timbwili tulimuokoa ila tuliponyoosha magoti tuliachana nae , alifanya kosa sehemu akawekwa ndani kwa miezi kama miwili , alitoka kule anajutia ,akakaa kaa mtaani kama miezi 5 akarudia tena sehemu alipopewa afanye kazi akauza mifuko minne ya cement , akauza godoro ⅚ qfl ambalo alipewa alalie , akauza bati 5 zilizokuwamle ndani , akaanza kusakwa sasa akawa amekimbilia mbali.
Kwa kuogopa kuswekwa ndani mpaka sasa nasikia yuko dar na huko akiendeleza ujinga wake ataishia huko maana hana ndugu wala mtu wakumsaidia wala kumshika mkono, kiufupi sisi kama wanafamilia na wanaukoo tuliamua kumuacha ili afanye anachokitaka siku MUNGU akimrejesha katika hali yake basi tutashukuru , kibaya zaidi huyu ndugu yangu ni mtu wa pombe na Kichwa cha pombe hana , na akichanganya wanawake ndo huchanganyikiwa zaidi , na amejaaliwa uongo uongo mwingi mpaka unajiuliza tabia hiyo kaitoa wapi ? Kiukweli ndugu wa namna hiyo hawafai .

Poleni kwa changamoto hiyo , na huo ni mtihani Mwenyezi Mungu aliwapatia lakini nawasihi msimfumbie macho ,kumfunga magereza siyo rahisi akienda kule mtahisi anateseka ila sasa mkimuacha pia kuna siku nzengwe itampeleka au itamuua na mtamkosa .

Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku

Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe

Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika

Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha

Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu

Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62

Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja

Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
 
Ata sisi kuna li braza linafanya ivyo ivyo afu kwa kuwa ni toto la kwanza na kipenzi cha bi mkubwa na faza nae amefyata mkia hana maamuzi linawatoto wa 3 wanalelewa na bi mkubwa apa , kazi halitaki linashinda limelala ndan na kucheka cheka vituko vya wsp afu bi mkubwa anakinga kifua sijui malezi gani aya kumpeleka milembe hawataki ila mzee anabadlisha waganga kama timu alizocheza lukaku mamaee
 
Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
Kwani pesa za kutumia kulewea huwa anapewa na nani au anazipata wapi? Maana kwa jinsi ulivyomwelezea, si mfanyaji kazi.
 
Nyie mmemfanya nini? kikulacho ........... Isije ikawa nyie ndiyo mmefikisha hapo halafu unakuja huku kulia lia.
 
Muulize vizuri mama yako kwanini kaka yuko hivi. Mam yako atakuwa anajua kwa asilimia 80 kwanini kaka yako yuko hivyo
 
Unaishi mkoa gani, fungeni kamba,peleka kwa waganga atanyweshwa madawa atapona.
 
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku

Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe

Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika

Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha

Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu

Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62

Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja

Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Ukitaka kujua jinsi mama yako anavyompenda, kamfungulie mashtaka awekwe ndani ndipo utaelewa. watu wa namna hii huwa wanapendawa sana na mama zao. Mnaweza mkashirikiana na mama yako kumsema ila baadaye utakuja shangaa yuko upande wake.
Try utaona.
 
Yaani mama ndio anasuasua anakuwa anamuonea huruma jamani 😭😭
Sababu ni mtoto wake wewe umewahi kuzaa? Umeona yule mama wa Arusha alivyokua analia kwamba amebadirishiwa mtoto? Sasa kilio kile ndicho anacholia mama yako huyo ni mtoto wake kamtoa kwenye tumbo lake lazima amuonee huruma hata akiwa Chizi kichaa atakae kaa nae ni yeye hawezi kumtupa maana alimzaa yeye ni wa kwake
 
Huyo si anawaletea uhuni mavi??........kuna kisa kimoja nitakisimulia hapa kidogo....ni kisa cha miaka mingi sana...kuna jamaa na yeye alikuwa hivyo hivyo analetea watu uhuni mavi mtaani ........analewa anasema yeye ni mtoto wa nyerere analeta sifa kupita maelezo...........watu wakawa wana muangalia kumbe wanampangia adhabu ya kumpa ..........siku moja akalewa sana wakamuwekea mkojo kwenye glass yake .........alivyokata moto tu wakamsodoma vibaya sana............sasa kuja kupata hisia baada ya pombe kwisha hasila zikawa mara mbili maana alikuwa hamjui bwana wake nani............akatibuka balaa kilichotaka kumpata kikubwa watu waliungana wakataka kumuua mbona alitoroka kwake usiku mpaka leo hatujui yuko wapi.........maana walitaka kuja kumchoma moto yeye pamoja na familia yake..........ni miaka imepita sasa
 
Tanga.
Word prediction ya dictionary ya simu imebadili automatic.
akili za watanzania zao zimefungamanishwa na yanga na simba, na mkae mkijua kupata katiba mpya kwa akili hizi haiwezekani
 
Back
Top Bottom