Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Vilio vya nn wakati hela yao ipo na watalipwa tu?
 
Huo mwisho wa mwezi wa kujazwa ujinga.

Mwisho wa mwezi ni mwishoi wa mwezi kama ilivyo kwenye kalenda na inavyojulikana dunia nzima.

Halafu utakuta wewe ni mwalimu unaeendelea kuwajaza ujinga watoto wa kimasikini.
Huyo bibi Faiza haelewi ana kichwa kigumu, mfano mzuri mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali ni tar 30 June na siyo tarehe 31 december, Mfundisheni kwamba mwisho wa mwezi kwa mtumishi wa serikali ni tar 21 au 22, ili kuujaza mwezi kamili.
 
Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
Iwe hivyo haina tofauti. Ukinilipa tarehe 22 nategemea tarehe 22 nyingine unilipe.

Basi mwezi huu wakilipa tarehe 30 ujao iwe hivyo hivyo.

Government need to have consistency. Sio kama nyumba ya mzee lomolomo.
 
Watumishi wa serikali 90% ni vilaza ndio maana serikali inawabinua inavotaka kama unga wa ngano.
 
Kwa Kukusahihisha Hapo Mama Hausiki Kwa Lolote Zaidi Ni Taratibu Za Kihasibu Kufunga/Kufungua Mwaka Mpya Wa Serikali
Tulia Unachostahiri Kupata Utapewa Tu Zaidi Uwe Mvumilivu Sana

Binafsi Sioni Tatizo Zaidi Taratibu
 
Hela yako umehifadhiwa utaipata ila ulonayo itumie vizur tarehe 28 ni mbal mbali ukiwa huna hela
 
Hizo ni tarehe mlizozowea kulipwa lakini siyo mwisho wa mwezi. Mkajijaza ujinga kuwa huo ndiyo mwisho wa mwezi.

Unazidi kunihakikishia kuwa shuleni ulienda kusomea ujinga.
Kuna watoto Wana hasara yaani ww ndo mama Yao... Stupid kabisa
 
Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
Ni kweli nadaiwa grocery na niliahidi tarehe 22.

Ni kosa kudaiwa grocery?
 
Hizo ni tarehe mlizozowea kulipwa lakini siyo mwisho wa mwezi. Mkajijaza ujinga kuwa huo ndiyo mwisho wa mwezi.

Unazidi kunihakikishia kuwa shuleni ulienda kusomea ujinga.
Mtoto wako aliyezaliwa march 22 anajaza mwaka/birthday yake ni lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…