Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Huo mwisho wa mwezi wa kujazwa ujinga.

Mwisho wa mwezi ni mwishoi wa mwezi kama ilivyo kwenye kalenda na inavyojulikana dunia nzima.

Halafu utakuta wewe ni mwalimu unaeendelea kuwajaza ujinga watoto wa kimasikini.
Wewe Bibi waheshimu Walimu waliokutoa ujinga.
 
Watumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.

Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku.

PIA SOMA
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

- Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?
Lile shetani lenu sie twalikumbuka kwa kutunyima haki yetu ya nyongezq ya mishahara, kukataa kutupandisha madaraja na kukataa kuajiri. Hayo mengine mkumbuke wewe inatosha
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..

Asalam Alaikum..
Tulieni mama yenu Kuna deal la mkopo anasikilizia pahali likitiki mtalipwa tu muwe na subra.
 
Huyo bibi Faiza haelewi ana kichwa kigumu, mfano mzuri mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali ni tar 30 June na siyo tarehe 31 december, Mfundisheni kwamba mwisho wa mwezi kwa mtumishi wa serikali ni tar 21 au 22, ili kuujaza mwezi kamili.
Kwa hiyo,aliekuwa akikipa siku 3 kabla,ndo alikuwa mjinga,siyo? Binadamu jamani,kazi kweli kweli. Kama pesa ipo,na anajitahidi kuwalipa kwa wakati,alikosea wapi? Na wanaolalamika,walifurahi kulipwa siku 2 au 3 kabla,leo wanalia siku 3 zimepita. Madeni mengi au? Ahadi za kina bi furani hazijatimia.
 
Hizi ni Akili za kimaskini sana.
Mshahara unaweza kulipwa hata tarehe 16 na sio issue, issue ni malipo ya mwezi ulioufanyia kazi. Kama Magufuli alikuwa analipa mshahara kila tarehe 19 maana yake mtumishi analipwa kila baada ya siku 30, na kama mama atalipa mshahara kila tarehe 29, maana yake mfanyakazi atalipwa kila baada ya siku 30. Kimantiki na kimahesabu hakuna kipya au kitu cha ajabu.
 
Ni kazi kweli kweli
Kama ni mwisho wa mwezi, bado.
Kama ni mwisho wa mwezi wa mtumishi wa serikali, hapo ataeleweka. Ila sasa,ndo huo ubaya wa kutegemea mshahara. Na ukute wanaolalamika wanalipwa zaidi ya milioni. Walala hoi walilie nini(wasio na mishahara)?
 
Kwa hiyo,aliekuwa akikipa siku 3 kabla,ndo alikuwa mjinga,siyo? Binadamu jamani,kazi kweli kweli. Kama pesa ipo,na anajitahidi kuwalipa kwa wakati,alikosea wapi? Na wanaolalamika,walifurahi kulipwa siku 2 au 3 kabla,leo wanalia siku 3 zimepita. Madeni mengi au? Ahadi za kina bi furani hazijatimia.
Siku tatu kabla zipi, nahisi na wewe hujui ulichokiandika.
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..

Asalam Alaikum..
Kama unachukulia nmb angalia Salio imetoka.
 
Kwa Kukusahihisha Hapo Mama Hausiki Kwa Lolote Zaidi Ni Taratibu Za Kihasibu Kufunga/Kufungua Mwaka Mpya Wa Serikali
Tulia Unachostahiri Kupata Utapewa Tu Zaidi Uwe Mvumilivu Sana

Binafsi Sioni Tatizo Zaidi Taratibu
Mama anahusika Kwa sababu taarifa zote lazima zifike kwake.
Taratibu za kihasibu ndo zilisubiri hadi 20s?? Walikuwa wapi from tar 1?? Na sasa ni mifumo ndo inatumika sio akili za watu direct, so hili lipo ndani ya uwezo wao labda waseme hela hamna
 
Back
Top Bottom