Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Sijasema wanaajira, nadhani hujanielewa hao wanaweza kujiongeza kuliko aliyesomea kazi ya mshahara wa laki tano.
 
Sijasema wanaajira, nadhani hujanielewa hao wanaweza kujiongeza kuliko aliyesomea kazi ya mshahara wa laki tano.
Sawa mkuu....

Sasa kila mmoja akisomea kozi yenye kazi ya milioni 5 kwa mwezi....hizo nyingine watafanya akina nani?!! 🀣🀣

Ujue uchumi wetu km taifa umdogo.....

#KaziInaendelea
 
Ila hata mie naona kigezo kingekua mwaka wa kumaliza,
Duuuh poleni sana mliokosa nafasi, ila msijari zamu yenu yaja.
Uvumilivu ni muhimu.
 
Ngumu kumeza hii.
 
Muongo sana wewe Taga. Ni mwaka upi wa kikwete alioajili walimu wachache,si wote?
Unazungumzia walimu umesahau kuna graduates wengi wanahitaji Ajira tatizo kusoma Kwa kufikiri lazima mwalimu aajiriwem . Mavyuo mangapi nchini yanatoa hao walimu unafiki wote hao serikalini inaweza kuhimili. Kwa mwaka inawezekana wanahitimu zaidi ya walimu elfu 20.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Things has changed very fast nakumbuka wakati Sisi ni 2004 mpaka 2007 tupo secondary Mwl wa certificate ndio alitakiwa kufundisha primary school, mwl wa Diploma alitakiwa kufundisha o-level na Mwl wa bachelor alitakiwa kufundisha A-level.2008 to 2020 kumpata Mwl wa kufundisha advance ilikuepo ni mtiti. Sahizi Mwl wa degree anakwenda kufundisha primary school. Sijui after 10 years itakuwaje

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
We bwana acha lawama usije kufuru maan wenzio tumehitim 2019 na ajila tumepata room ments wote[emoji28]
 
Sidhani tena hii nchi itakuja kupata Raisi wa hovyo kama JPM, kuruhusu kuongozwa na jiwe hii nchi ilifanya kosa la millennia ....with a terrible resolve
 
pole sana ndg,Mimi kilio changu ni kupanda daraja,yaani ajira ya 2016 kapanda,sisi wa 2014 bado,inaumiza sana
 
Boss usikate tamaa, amini ipo siku yako.

Mm hua najisemea 'disappointment ni kitu cha kawaida sana kwa mwanadamu' usijipe matarajio makubwa katika kutafuta kitu. Mimi kila siku nasambaza cv mpaka nalia mana hata kazi ya kujitolea pia hupati.
 
Nyie mlio overstay mtaani mnatemwa dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…