Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yah unatembeza CV we mie nilishajikatia tamaa! Mtu aniambie lete CV ntapeleka ila sio kupuyanga una apply ilimradi tu unajipotezea muda tu na kazi hupati ng’oo!Mtu unatembeza CV mpaka kutembeza cv ndo inakuwa kazi yako.
Ila hy slogan ya kuwa disappointment inanifanya nicheke huku nalia mana hakuna namna tena.
Kazi zipo mikononi kwa watu aisee!