Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

Acha wafee..!!

Kwani kuna ambaye hatakufa?

Kama umechukizwa, inabidi uchukieee tena zaidi na zaidi.
 
Hayo yanasababishwa na siasa za chuki zinazosambazwa na Slaa, mdudu, mwambulukuku, yule mental case, lussu na mbowe.
 
Kifo sio kizuri ,ila watu tubadilike na kujitambua ,hii tabia ya watu lundikana kwenye malori ,mikokoteni , kisa ni uchama uliopitiza ,sio sawa mwishowe ni kuleta simanzi katika jamii ,familia bila sababu,

Yupo mama pia anaugulia Mgongo kwa kutenguliwa kiuno na moja waziri pale alipoamua kutembelea juu ya migongo ya wakina mama,
 
Imagine ww ni mfanyakazi nyumbani kwa nape utampenda kwa ujinga anaofanya. Chuki zinakuja watu wanapojua ulaji upo na watu hawapati mema acha wafe ccm wajue zama za kupendwa na kudanganya watu zimekwisha kitambo sana
 
Yule zwazwa sjui alituonaje yaani alikua anaendekeza chuki hadharani
 
Octoba 12 nikiwa Sumbawanga maeneo ya stend ya mabasi nasubiria gari ya kwenda Mpanda nilikutana na kisanga kilichonishangaza kama Mwandishi. Siku hiyo Katibu Mkuu CCM alikuwa anahutubia Mkutano wa hadhara uwanja wa Nelson Mandela. Baada ya kuona wahudhuriaji watakuwa wachache ukafanyika mpango Vijana wa stendi wavalishwe T-Shirt za kijani. Wiokubali walipewa 5000 yao na kuahidiwa Mkutano unaanza saa 7 na kuisha SAA 10 wataendelea na shughuli zào. Kilichonishangaza ni pale waliporejea majira ya saa 10:30 jioni wenzao waliowaacha stendi wakaanza kuwazomea wakiwaita "WAUZA BANDARI". Hadi naondoka na basi la Princess J saa 11 jioni kuelekea Mpanda, hakukuwa na kijana hata mmoja aliyebaki na t-shirt ya kijani.
Akili yangu ikanituma kuamini,
Watanzania wamefungamanisha matatizo yao ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na pengine hata kimichezo na uCCM.
 
Mkuu kwanini unawaza kwa kujifunika blanketi kwene "medula" yako, inamaana wewe hauoni maisha magumu na ya hovyo kabisa waTz wanayoishi!

Hivi ukiambiwa: "adui wa nchi ama adui wa taifa" huwa kuna mtu specifically kwa jina anayeweza kunyooshewa kidole cha moja kwa moja kwamba ni huyu?

Watu wanaichukia Ccm yaani taasisi nzima kutokana na namna Serikali ya Ccm inayotawala ilipotufikisha waTz.

Kuanzia viongozi wakuu hadi wafuasi wao, wanaopiga mapambio kutwa kuzitangaza nyendo mfu za Serikali kwa mapambio ya ulaghai huku kiuhalisia wakijua kuwa ni uzushi na propaganda tupu.

Mtu yeyote anayeiunga mkono Ccm hata kwa kuvaa gwanda la kijani pekee ni adui wa moja kwa moja wa raia wanaoteseka na madhila yanayoletwa na Serikali ya Ccm.

Ccm ilipofikia leo ni sawa sawa na Ccm ilipofikia wakati wa awamu ya pili ya utawala wa Kikwete, mtu anayezurula na gwanda la kijani ilikuwa anazomewa!

Wamshukuru Magufuli( Rip) kuwarejeshea heshima ya chama, vinginevyo sasa hivi Ccm kingekuwa ni chama historia cha kusomwa mashuleni tu.

Wakiambiwa habari za "Katiba mpya wanazungusha, wakiambiwa "Tume huru" wanazungusha, je wana nia njema na nchi hii?

Adui #1 wa raia masikini wa nchi hii ni Ccm kwa namna walivyotufikisha waTz hivi tulivyo leo.

"Shangilia" hiyo pekee mahali penye kustahili huzuni na huruma ni namna ya kutapika nyongo pamoja na kufikisha ujumbe kuonesha hasira waliyonayo wananchi kwa Serikali na siyo jambo jingine lolote zaidi ya hilo.
 
Hahahahahah tupo utumwani ndio maana watu wanashangilia haiwezekani mwarabu achukue ardhi yetu milele halafu watu wafurahi angalia huyu mama anakwenda kuomba msamaha hapa TEC noma
Msamaha alifanya kosa gani?
 
Hakuna namna inabidi iwe hivyo tu.
 
Natokea Makete hizi comments humu zinafikirisha sana. Huenda tuko pamoja kama Watanzania/ Watanganyika. Kivyama kuna uadui fulani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…