Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Hilo jeshi liko kizamani mno, Hadi sasa Bado wanatumia Fax na CD/DVD kutunza data zao. Ndio maana huna sifa sana kutumika kupiga raia wasio na silaha.
 
Reactions: G4N
Sio kila sehemu utatumia Ndege!

Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk

Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Ni kweli ila vita kwa sasa 90% ni technology na sio mabavu.
 
Bora wangepita ile staili ya kuvaa mabegi wengi kwa paredi la kurusha rusha miguu. Haya wanaofanya hayana mvuto wa kwenye halaiki
 
anha sawa mkuu sasa swali langu innovation vipi zinafanywa au zipo zilizowahi kufanya na hawa wanaokuja kuvaa nyota baada kusoma nje? , maana huwa naona tu vyeo wanapata + mishahara ila jeshi letu kuwa advanced hatuoni kbsaa.
Sasa kama wanasiasa wanaangalia yao tu ya wengine hawayatazami tunafanyeje ndugu yangu lakini tuko dynamic japo kwa mwendo wa kinyonga kama unavyoona mashirika yetu kama.la mzinga.Pia usisahau Kuwa na technology kunahitaji uchumi mkubwa
 
Reactions: G4N
... UWEZO WA KUBEBA NI MUHIMU!
HUWEZIWAACHA WALIOJERUHIWA NYUMA ILI WATESWE NA ADUI NA KUTOA SIRI!
 
[emoji1666]
 
Acha hizo kuna za kirusi Mig 21 fighter jets za 1970's
mzeebaba sidhani kama kuna MiG 21 iliyopo katika service kwa sasa na kama zipo ni chache kwa sasa. Kumbuka Mr wakati wa kipindi chake alichukua Chengdu F-7.

Ni kweli hatukatai ni fighter ambazo ni generation za nyuma ila haina maana anga haliko salama. Kuna jirani ana SU-30 ila hazizidi 7 sasa sijui unazipangaje katika squadron, wing.

Sometimes haya mambo uendana na wale wanaokuzunguka wapoje nikiwa na maana silaha walizo nazo, uwezo wao wa kuweza kutumia hizo silaha na n.k nakumbuka kuna tukio lilitokea India kuna pilot wa kihindi nadhani jina ni Abhinandan akiwa tu Mig 21 aliweza kuipiga F-16 ya Pakistan ni fighter 2 zenye kizazi tofauti kabisa ila fighting iliamuliwa na ubora wa rubani.

ONLY THE STRONG SURVIVED..
 
Bado wanafikiria vita vya kuchimba "MAANDAKI" wenzetu wanatumia state- of-the-art drone kuepusha vifo kwa askari wao... Sisi bado tunakimbizana na "MAFURUSHI"πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 

Hao ni special forces ndani ya jeshi, sio kila mwanajeshi anakuwa kwenye kikosi kama hicho...

Hivyo, hata majeshi hayo unayoyaita yameendelea yana wanajeshi kama hao na wanafunzwa kukabiliana na shurba nzito...

Google maneno haya "navy seal physical trainings" uone special forces wa nchi zilioendelea wnapiga tizi la namna gani...
 
Medani ya kubeba mizigo kama makuli bandarini,wenzenu wanawekeza kwenye silaha za kiteknolojia nyie bado mnabeba mizigo kama makuli wa mabibo sokoni,mkistaafu mnaanza kuumwa migongo.
Zingatia ushauri wangu, jikite kwenye maziwa. Ukitaka kufahamu usianze kwa lawama na dharau.
 
Ujinga ni kuamini na kujua kuwa kinachofanywa ktk hayo maonyesho ndio ulinzi...
 
Sio kila sehemu utatumia Ndege!

Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk

Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Achaneni na wapumbavu na wapondaji tu wajuaji wasio na ujuzi.
Hawajui Sayaret Matkal - israel comandos
Wala Navy seals

Aende akachet trainning zao aone vitu wanavyofanuya, hazo Jw hizo kilo 70 cha mtoto.

Et majeshi ya siku hiz hayafanyi vitu hivyo? Wap??!!!!

Msingi wa jesh kolote duniani ni ukakamavu!. Mengine yanafuata
 
Alooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…